Jamaa anasema kagame alificha zana za kivita nzito
kwenye milima ya chanzu.
Anasema hapo mwanzo kagame aliamuru siraha zote nzito zilizokuwa mjini kigali zihamishwe akihofia waasi wanaweza kuziteka na kuzitumia kama walivyo zitumia kumua habyarimana.
ndipo wakaamua 2/3 ya siraha zote za rwanda zikafichwe kwenye hiyo milima ya chanzu.
Anaendelea kusema majeshi ya tanzania yakishirikiana na ndege za afrika kusini yalimuonyesha kagame kwamba yeye si chochote mbele yao baada ya kumfurumusha na kuteka hiyo shehena za kivita kitu ambacho kimemfanya kagame awe mpole.
Hiyo shehena ilikua na uwezo wa kuisambalatisha kivu yote. m23 walijaribu kuichoma moto lakini iligoma kuwaka, ni vifaa vichache vilivyo ungua. Waliweza kukamata zana nzito nzito za kivita na risasi tani 300.
UNO itatumia hizo siraha kama ushahidi kwamba kagame anahusika. Vilevile walikamatwa watoto wa kinyarwanda chini ya miaka 17(pichani) wakiwa vitani.
kamaliza kwa kuweka picha za ndege za kivita za africa kusini.
(nimeelezea baadhi niliyo yaelewa). mia
walijifanya wajuaje, sasa wamekutana na wanaojua zaidi, na walifikiri milima hiyo itawasaidia.Duh! Ndio Maana Jamaa Kawa Mpole Gafla. Alafu JWTZ Nao Wamezidi Kuwa Wasili.
hii lugha pana kazi waungwa hasahasa "MUKAMASIMBA" Atusaidie! haya ma-helcopter ya SA hatari tupu
Da kibantu hiki ni kigumu hatari. Lakini wenzetu wa mkoa wa Kagera hasa Karagwe wanaweza kuokoteza maneno kadhaa, kama kaka ulivyofanya. Angalau concept tumeipata, mwenye uelewa aitafsiri yote. Kila Paragraph aichukue aitafsiri tutashukuru.## #TUNASHUKURU SANAa TUMEELAWA ASANTE SANA
Hizo apache helicopter huwaga ni noumer sana.
Hizo apache helicopter huwaga ni noumer sana.
Duh! Ndio Maana Jamaa Kawa Mpole Gafla. Alafu JWTZ Nao Wamezidi Kuwa Wasili.
Jamaa anasema kagame alificha zana za kivita nzito
kwenye milima ya chanzu.
Anasema hapo mwanzo kagame aliamuru siraha zote nzito zilizokuwa mjini kigali zihamishwe akihofia waasi wanaweza kuziteka na kuzitumia kama walivyo zitumia kumua habyarimana.
ndipo wakaamua 2/3 ya siraha zote za rwanda zikafichwe kwenye hiyo milima ya chanzu.
Anaendelea kusema majeshi ya tanzania yakishirikiana na ndege za afrika kusini yalimuonyesha kagame kwamba yeye si chochote mbele yao baada ya kumfurumusha na kuteka hiyo shehena za kivita kitu ambacho kimemfanya kagame awe mpole.
Lakini pamoja na hayo yote Mbona m23 na serikali ya DRC hawajasaini mkataba wa amani, wakati pande zote zilihitaji makubaliano??
duh!inafanana sana na apache hasa muonekano wa mbele na kwenye mbawa ,kumbe africa kusini wanatishaSio Apache iyo inaitwa Rovaalk South African made ndio imeanza kufanya kazi Congo.. AH-64D Apache ni habari nyingne kiongozi.
Lakini pamoja na hayo yote Mbona m23 na serikali ya DRC hawajasaini mkataba wa amani, wakati pande zote zilihitaji makubaliano??