GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,769
Habarini za mwisho wa wiki.
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Ndugu zangu napenda kuwaombeni
kuwa mizozo ya wanasiasa isitufanye tuvunje uhusiano wetu na wanyarwanda
na Wamalawi. Siku zote napenda mufahamu kuwa hawa wanasiasa wa Afrika sio
wa kuwashabikia sana kwani wako tayari kufanya mambo yatakayowanufaisha
watu kutoka nje ya bara la Afrika huku wakiwaacha Waafrika wenzao katika hali
mbaya ya kiuchumi.
Hii mizozo tuwaachie viongozi sisi tuendelee na mambo yetu likitokea jambo lolote
wao huwa wa kwanza kukwea Ndege huku wakipokelewa na baadhi ya mataifa
kama wakimbizi waheshimiwa, lakini sisi tunaogombana wenyewe kwa wenyewe
tunaishia kufunikwa na mahema huku tukiwa hatuna hata uhakika wa chakula.
AFRIKA NI MOJA, WAAFRIKA NI WAMOJA.... MIPAKA ILIYOWEKWA NA WAZUNGU
ISITUGAWE.