kwahiyo hii ndiyo justification ya kufungia radio 2 mlizofunga kinyume na sheria?
yani mtu kumshauri rais afate sheria za nchi inaleta vipi vita??
Lini Kenya iliingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe?Wanaolalamikia maamuzi ya Serikali yetu kuzifungia baadhi ya Redio na Magazeti wana akili za kitoto!
Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Rwanda na Kenya viliweza kufanikiwa tu kwa uwepo wa Redio za kichochezi ambazo Serikali zao walipuuzia uchochezi uliokuwa unafanywa na Redio hizo matokeo yake ni vita kubwa iliyopelekea watu wengi kuumizwa na kupoteza maisha!
Hata mmoja kati ya Wakenya waliopelekwa ICC huko Hague kwa kesi ya uchochezi ni mtangazaji wa Redio anayeitwa DJ Sang ambaye alituhumiwa kwa uchochezi!
Hivyo hongera sana Serikali yetu kwa kutupenda na kutulinda dhidi ya watu wabaya, Kenya walifika walipofika 2007/2008 kwa sababu ya udhaifu wa Serikali yao na kuiga Uzungu ambao hata hawauelewi!
Hiyo id yake maana yake ni operation iliyopangwa na Hitler kuivamia urusi wakati wa vita kuu ya pili ya dunia, Hitler alikuwa mpenzi sana wa kukaa na kutembea na mbwa, kwenye operation hiyo ya Barbarossa majeshi ya Hitler yalipata kipigo kikali sana cha mbwa koko, huyo jamaa ana akaunti nyingine inaitwa meinkempf ambayo nayo ni mauaji ya Hitler aliyowafanyia Jews kwenye Kambi za mauaji na mateso. Mpaka hapo nadhani umefahamu huyo ni mtu wa aina ganihivi hawa mbwa kwenye avatar yako unauza ama nini?
HopelessIlitokana na chuki zilizokuwa zimepandizwa na wanasiasa kwa muda mrefu, na hasa ukabila, usikimbilie hoja dhaifu kuhalalisha kufungiwa kwa vituo vya redio
Acha madharau weweHopeless
Bora kukariri ukweli maana ni mbaya zaidi pale unapokariri uongo.
Kwa mitahala ya elimu Tanzania nadhani kuanzia darasa la tano kunakuwa na maswali ya kujieleza. Ukiulizwa swali lolote katika ngazi hizi kama utaelezea faida za kitu ni lazima uelezee na hasara zake (i.e. negatives vs positives) na hii ndio asili kuu ya uumbwaji. Sasa ukija hapa ukaeleza faida au hasara tu za kitu na kutuaminisha tuamini ni kama watu wanaangaika na maswali ya form six au vyuo alafu wewe unaleta mambo yako ya darasa la pili !
Hiyo ukisema vita ililetwa na radio pia ueleze zilivyoleta amani kwa kuwahabarisha watu juu ya ukweli unaowahusu.
Tusikimbilie neno "ni kinyume cha sheria" wakati sisi wenyewe ndo vinara wa kuvunja sheria.kwahiyo hii ndiyo justification ya kufungia radio 2 mlizofunga kinyume na sheria?
yani mtu kumshauri rais afate sheria za nchi inaleta vipi vita??
Tusikimbilie neno "ni kinyume cha sheria" wakati sisi wenyewe ndo vinara wa kuvunja sheria.
Demokrasia inaishia pale unapoanza kuingilia uhuru wa mwingine, kama radio hizi zingekuwa zinatoa ushauri ingekuwa bora, mimi binafsi nimezikiliza hizi radio, ni kwamba waziri alichelewa kuchukua hatua
Unapomdhiaki mtu mtu mwenye mamlaka unataka akuchekee! Muda huo umepita
Mkuu unanifurahishaga sana na majibu yako.. straight kabisaaaaaaaaIlitokana na chuki zilizokuwa zimepandizwa na wanasiasa kwa muda mrefu, na hasa ukabila, usikimbilie hoja dhaifu kuhalalisha kufungiwa kwa vituo vya redio