Punguani wewe,Sekta ya Utalii Tanzania Ndio inaongoza kuchangia pato la taifa.
Achana sekta nyingine zinazolishwa na utalii.
Hizi Ndio vitu tulitakiwa kuvifanya Tanzania kuwa Tourisim Hub,
Bilioni 7 sio kitu,Nitakupa tu mchanganuo, mdogo
Ziltengwa bilioni 30 kukarabati uwanja wa taifa,Bila shaka zimepigwa,Kuna magari ya wakurugenzi yananunuliwa milioni 500 huko
Haya ni maeneo machache tuu.
Lakini zingwekezwa kutangazwa utatalii zingeleta Tija japo zingepigwa pia,mkataba wa bilioni 70 tungeambiwa bilioni 100