Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa. Amekutwa na makosa sita ikiwa ni pamoja na uchochezi wa ghasia na uasi, kupuuza kumbukumbu za mauaji ya kimbari, kueneza habari za uzushi na kuchochea vurugu.
Alishtumiwa kwa kuwa, katika mtandao wake wa Youtube, Bi Idamange alimshtumu Rais Kagame na serikali yake kwa kuanzisha udikteta, kutumia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kwa maslahi yao bila ya kuwapa msaada wowote wahanga na kugeuza eneo la kumbukumbu za mauaji hayo ya kimbari kuwa vivutio vya utalii.
Bi Idamange ambae mtandao wake wa youtube una wafuasi 18,900 na ambae video zake huangaliwa kwa wastani mara laki moja, anajinasibu kama mhanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, yalisababisha vifo vya watu zaidi ya laki nane, wengi wao wakiwa kutoka jamii ya walio wachache ya Watutsi. Alishtumiwa pia kwa kumpiga na kumjeruhi afisa wa polisi wakati wa kukamatwa kwake.
Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja kwa moja mitandaoni kukataliwa.

Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja
ni mwendo wa kuwasagia kunguni tuMkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa. Amekutwa na makosa sita ikiwa ni pamoja na uchochezi wa ghasia na uasi, kupuuza kumbukumbu za mauaji ya kimbari, kueneza habari za uzushi na kuchochea vurugu.
Alishtumiwa kwa kuwa, katika mtandao wake wa Youtube, Bi Idamange alimshtumu Rais Kagame na serikali yake kwa kuanzisha udikteta, kutumia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kwa maslahi yao bila ya kuwapa msaada wowote wahanga na kugeuza eneo la kumbukumbu za mauaji hayo ya kimbari kuwa vivutio vya utalii.
Bi Idamange ambae mtandao wake wa youtube una wafuasi 18,900 na ambae video zake huangaliwa kwa wastani mara laki moja, anajinasibu kama mhanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, yalisababisha vifo vya watu zaidi ya laki nane, wengi wao wakiwa kutoka jamii ya walio wachache ya Watutsi. Alishtumiwa pia kwa kumpiga na kumjeruhi afisa wa polisi wakati wa kukamatwa kwake.
Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja kwa moja mitandaoni kukataliwa.
Duh.......huyu kagame wanawake wanampeleka mbio sana huko rwanda maana itakuwa kichwa kinamuuma aiseee.Wanaume wameuchuna kama vile hawapo rwandaMkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa. Amekutwa na makosa sita ikiwa ni pamoja na uchochezi wa ghasia na uasi, kupuuza kumbukumbu za mauaji ya kimbari, kueneza habari za uzushi na kuchochea vurugu.
Alishtumiwa kwa kuwa, katika mtandao wake wa Youtube, Bi Idamange alimshtumu Rais Kagame na serikali yake kwa kuanzisha udikteta, kutumia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kwa maslahi yao bila ya kuwapa msaada wowote wahanga na kugeuza eneo la kumbukumbu za mauaji hayo ya kimbari kuwa vivutio vya utalii.
Bi Idamange ambae mtandao wake wa youtube una wafuasi 18,900 na ambae video zake huangaliwa kwa wastani mara laki moja, anajinasibu kama mhanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, yalisababisha vifo vya watu zaidi ya laki nane, wengi wao wakiwa kutoka jamii ya walio wachache ya Watutsi. Alishtumiwa pia kwa kumpiga na kumjeruhi afisa wa polisi wakati wa kukamatwa kwake.
Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja kwa moja mitandaoni kukataliwa.
Hiki ndicho kinaniehangaza halafu wanampush jamaa mpaka anapata wengeKwamba rwanda wamama ndio wapo moto
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa. Amekutwa na makosa sita ikiwa ni pamoja na uchochezi wa ghasia na uasi, kupuuza kumbukumbu za mauaji ya kimbari, kueneza habari za uzushi na kuchochea vurugu.
Alishtumiwa kwa kuwa, katika mtandao wake wa Youtube, Bi Idamange alimshtumu Rais Kagame na serikali yake kwa kuanzisha udikteta, kutumia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kwa maslahi yao bila ya kuwapa msaada wowote wahanga na kugeuza eneo la kumbukumbu za mauaji hayo ya kimbari kuwa vivutio vya utalii.
Bi Idamange ambae mtandao wake wa youtube una wafuasi 18,900 na ambae video zake huangaliwa kwa wastani mara laki moja, anajinasibu kama mhanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, yalisababisha vifo vya watu zaidi ya laki nane, wengi wao wakiwa kutoka jamii ya walio wachache ya Watutsi. Alishtumiwa pia kwa kumpiga na kumjeruhi afisa wa polisi wakati wa kukamatwa kwake.
Mbali na kifungo cha miaka 15 jela, alipigwa faini ya kiasi cha dola za kimarekani 2000. Awali,upande wa mashtaka ulipendekeza miaka 30 jela na faini ya dola 6000. Idamange amekua akisusia vikao vya mahakama hiyo ambayo alisema ni ya upendeleo, baada ya ombi lake la kutaka kesi yake ipeperushwe moja kwa moja mitandaoni kukataliwa.
Hao ndio watamu,ukiwafunga wakifika jela wanaliwa na mabwana jela yaani unamuweka doggystyle unamwagia ndani tu akiwa kwny heat.Mpk anatoka jela unakojolea ndani tuuuuu.Duh.......huyu kagame wanawake wanampeleka mbio sana huko rwanda maana itakuwa kichwa kinamuuma aiseee.Wanaume wameuchuna kama vile hawapo rwanda
Kamchekini Chato.PaKa ndiye alikuwa mentor na confidant muhimu wa jiwe.
Nasi tulikuwa tunaelekea huko huko. Tulipo hangaya naye anaendeleza kazi:
View attachment 1960304
Jamaa anafurahia maana anajua mabwana jela wake wamepata sehemu nzuri ya kukojolea yaani kwa ndani,hakunaga kumwagilia kwa nje.Hiki ndicho kinaniehangaza halafu wanampush jamaa mpaka anapata wenge
Hapa unadhani ni wazungu wenyewe basi tu hawahawa wapambe nuksi wanawaalika waende mahakamani huko na ukiachilia mbali mabalozi wengi wa hapa bongo hawapo bize..Huko hutakaaa usikie ET mabaloz wanahudhuria kesi Kama hizo mahakaman au wanakosoa democracy it's only Tanzania tu Yan wazungu n wanafiki Yan Kama hawaoni vile
Bibi jela akiwa wapi,hivi unadhani Kula mfugwa ni rahisi kiivyoJamaa anafurahia maana anajua mabwana jela wake wamepata sehemu nzuri ya kukojolea yaani kwa ndani,hakunaga kumwagilia kwa nje.
😁😁 Unaongelea gereza la Tz au Rwanda?Bibi jela akiwa wapi,hivi unadhani Kula mfugwa ni rahisi kiivyo
Kwny kesi ya yule jamaa wa hotel Rwanda mabalozi wa Ulaya+ US walikua walikua wanahudhuria mahakamani Kama ilivyo Ada mpk pale mtuhumiwa alipogoma mwenyewe kuja mahakamani,lkn amepigwa kifungo kidogo tu Cha miaka 25 na hamna kitu mabalozi wamefanya.Huko hutakaaa usikie ET mabaloz wanahudhuria kesi Kama hizo mahakaman au wanakosoa democracy it's only Tanzania tu Yan wazungu n wanafiki Yan Kama hawaoni vile