Talkandtalk
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 291
- 184
Then prove me wrong,kwenu (walikale DRC hata kibatari hakuna achilia mbali issue ya MW or GW electricity).
Kama unaongelea Tanzania then hongera looks like umeme umefikishwa kila sehemu kulingana na maelezo yako.
Kwetu ongezeko la 6% kwenye national grid ni jambo la kujivunia kama nyumba zaidi ya 15,000 zitapata umeme kutokana na mradi huu then we are happy for that, and we love these stories more than FDRL press release from you.
Hujui kusoma? megawatt unaitoa wapikwa hiyo ni Gigawatts kama ulivyoandika au actually ni vijimegawati 8 vya ugoro? jibu swali acha kuyeyusha.
Hujui kusoma? megawatt unaitoa wapi
tatizo sio kusoma tatizo ni hiyo Gigawatt, i have a fairly good understanding of what it means, One gigawatt ni megawatt 1000. Kenya right now ina peak demand hata haifikii Gigawatti mbili (muulize MK254), wewe unadai eti karwanda kenu kameshawasha Gigawatti 8? Haya basi tufanye umeshinda eeh! mtutsi mzuri eeh! watutsi mna akili sana eeh! hahahahhaa. Mi nadhani nifunge mjadala na kuwapongeza watutsi kwa kuwa na umeme wa kuangaza EAC nzima! Nasubiria kesho udai kigali mabomba yanatoa maziwa!
cc:JustDoItNow nyumba kubwa Ngongo.
MOTOCHINI Kimweri mchambawima1
What else can you say. Pole pole tu. Mwendo wa kobe. Tutafika. Nyie mlishaanza safari? Better yet...do you know where you are going? Mpaka siku ile mtakapojua mnakwenda wapi hamuwezi kuanza safari. Yangu macho. Hongera raisi wangu. Our official policy is ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS.
kwa hiyo umekubali kiaina kuwa mwenzio muongo au na wewe unasisitiza Rwanda imewasha gigawatti 8? tuanzie hapo kwanza.
Kwa kupotezea tu, nakukubali.
Hujui kusoma? megawatt unaitoa wapi
tatizo sio kusoma tatizo ni hiyo Gigawatt, i have a fairly good understanding of what it means, One gigawatt ni megawatt 1000. Kenya right now ina peak demand hata haifikii Gigawatti mbili (muulize MK254), wewe unadai eti karwanda kenu kameshawasha Gigawatti 8? Haya basi tufanye umeshinda eeh! mtutsi mzuri eeh! watutsi mna akili sana eeh! hahahahhaa. Mi nadhani nifunge mjadala na kuwapongeza watutsi kwa kuwa na umeme wa kuangaza EAC nzima! Nasubiria kesho udai kigali mabomba yanatoa maziwa!
cc:JustDoItNow nyumba kubwa Ngongo.
MOTOCHINI Kimweri mchambawima1
hahahaha, are you sure ni Gigawatts au ni megawatts? maana watutsi kwa misifa tunawajua. baiskeli itaitwa pikipiki, corolla itaitwa benzi. Sijui sana mambo ya umeme ila hapo kwenye gigawatti bado kidoogo.
sana sana hizo ni 8.5MW, na kama ni MW basi nikufahamishe kuwa huku kwetu serikali haihangaiki na chini ya 10MW. Vimradi vidogo vidogo hivyo wameachiwa private sector ndio wanazalisha chini ya 10 MW chini ya mpango unaitwa small scale power... sijui nini nini....
cc: JustDoItNow nyumba kubwa Ngongo.
MOTOCHINI Kimweri mchambawima1
Hujui kusoma? megawatt unaitoa wapi