Rwanda, Kenya and Ethiopia are preparing a military force to intervene in South Sudan

Boda254

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
379
110
By Addis Getachew

ADDIS ABABA, Ethiopia

Rwanda, Kenya and Ethiopia are preparing a military force to intervene in South Sudan, an Ethiopian official said Friday.

South Sudan was hit by renewed violence between government forces and former rebel troops that left hundreds dead earlier this week, leading to fears that the country’s two-year civil war could be reignited. A four-day cease-fire is currently holding.

Getachew Reda, Ethiopia’s communications affairs minister, said the Intergovernmental Authority on Development (IGAD), an eight-nation African trade bloc, would meet to discuss restoring peace to South Sudan.

The body set up to oversee a peace deal signed last August between President Salva Kiir and Riek Machar -- the former vice president who has now been restored to his role in a unity government -- has made a similar suggestion.

“There will have to be a summit,” Reda told reporters at his office. “IGAD has called for a cease-fire but has also called upon troop-contributing countries to strengthen [an international] brigade.”

He said 14,000 troops would come from Rwanda, Kenya and Ethiopia following a UN request.

“It has also called for peace enforcement mandate because it has to protect civilians,” he added, noting that the UN compound in South Sudanese capital Juba had been mortared during the recent violence.

The past month has seen an armed confrontation between Kiir’s forces and troops loyal to Machar.

The suggestion of foreign intervention in addition to the current UN peacekeepers was rejected by Kiir on Thursday.

“What do you need more forces for?” he said in a news conference. “What will they come and do? The United Nations Mission in South Sudan has so many foreign troops. So we will not accept that.”
Anadolu Agency news ethiopia

Ethiopia suggests military intervention in South Sudan
http://aa.com.tr/en/p/subscription/1001
 
yeees I always say we invaded the wrong country in EA south Sudan ndio Kenya tulifaa tuingie wala sio Somalia
 
mnawashwa pelekeni kimbelembele chenu mkidhani mtafaidika na mafuta ya South Sudan! nchi yenye moral right kuwa South Sudan ni Uganda pekee!
Useless comment. Kenyan soil gave birth to SSudan. Ever heard of Naivasha accords? And it was Gen Sumbeiywo (rtd) who put all his effort to realise this reality. Am very certain you know nothing of that..
 
yeees I always say we invaded the wrong country in EA south Sudan ndio Kenya tulifaa tuingie wala sio Somalia

Kenya haijawahi kuivamia nchi yoyote ile kinachofanywa na Kenya, Uganda &Co. kinaitwa proxy war, Kenya &Co. wanapigana vita kwa ajili ya Mataifa makubwa, kwa kifupi hii ni Vita ya Wazugnu, Wazungu ndiyo waliowaliopaswa kuleta majeshi yao na kupigana huko kote Somalia, na sasa Sudani lkn wanawatumia vibaraka wao Kenya &Co. kufanikisha hili huku gharama za maisha na mali zikienda Kenya na siyo kwa Wazungu, lkn Malighafi ya Sudani Smalia ikenda kwa Wazungu, hiyo ndiyo maana ya proxy war!
 
Useless comment. Kenyan soil gave birth to SSudan. Ever heard of Naivasha accords? And it was Gen Sumbeiywo (rtd) who put all his effort to realise this reality. Am very certain you know nothing of that..

Kenya ilitumiwa tu na inaendelea kutumiwa tu na Wazungu kama vile kiatu kwa manufaa ya Wazungu, Kenya haijaanzisha Sudani Kusini bali Wazungu wameitumia Kenya ili kuimega Sudani Kusini ktk Sudani Kubwa na sababu ni Mafuta, Bashir amewauzia utajiri mkubwa wa mafuta Uchina na alifukuza Makampuni makubwa ya Wazungu huko Sudani na kuwapa Wachina, hivyo kwa kifupi kinachoendela ni vita kati ya Wazungu na Wachina wote wanagombania Mafuta ya Sudani na Kenya,Uganda &Co. wanatumiwa tu ili ionekane kwamba nchi za Kiafrika ndiyo zinaendesha hiyo vita na kuipa Vita hiyo Sura ya Kiafrika!
 
Unasahau jinai walilofanya waarabu wa kaskazini dhidi ya wakusini tangu milele. Na kwa zile vita vyao vya ukombozi binafsi naona ulifaa maanake walikandamizwa sana nchini mwao, kisa itikadi zao na mila tofauti na wakaskazi.

La hili mpya, naona huyu Machar katumiwa na makampuni ya mafuta kusudi waibe zaidi iwepo atapata madaraka. Yeye ukumbuke alishawahi kuisaliti harakati za ukombozi enzi za akina garang wakiwa porini vitani. Bado anashikilia urafiki na mabosi wake Khartoum.
 
Bila kusahau shujaa wa vita ya ukombozi ambaye pia ni Baba wa Taifa la Sudan ya Kusini, Mzee Kanali George Garang alikulia na kusoma Tanzania elimu ya sekondari huko Lushoto na pia Chuo Kikuu cha UDSM Dar es Salaam,Tanzania.

Pia vikao vingi vya usuluhishi baina ya hao jamaa wanaopigana sasa vilifanyiwa Tanzania.
 
Tanzania is trying sooooo hard to be relevant in IGAD MATTERS POLENI NO ONE GIVE TWO SHITS ABOUT TZ
 
Tanzania is trying sooooo hard to be relevant in IGAD MATTERS POLENI NO ONE GIVE TWO SHITS ABOUT TZ

Bomba la Mafuta la Uganda tumechukua sisi.
Bomba la Mafuta ya S. Kusini tutachukua sisi.
Tumegoma kusaini EPA, mnapiga mayowe.
Ipo wapi SGR ya kwenda Rwanda? Bado CoW inafanya kazi?
Tumegoma kuruhusu Ardhi mnapiga mayowe.
Tanzania is very relevant chini ya jangwa la Sahara. Zaidi ya South Afrika macho yapo Tanzania.
 
Hongera sana Rwanda, nchi ndogo lakini inajitutumua ndani ya majitu.
Hongera pia nchi yangu Kenya maana tumewabeba sana hawa Wasudan. Pia asante Ethiopia kwa juhudi hizi zao.

Bila kuwasahau Uganda, jameni tusiruhusu Sudan Kusini waangamie.
 
Back
Top Bottom