Rwanda is ranked seventh by the Global Gender Gap Report for gender equality

Rwanda is ranked seventh by the Global Gender Gap Report for gender equality

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Please find below the list of countries in order of their performance. You can also follow this link for details.

Global Gender Gap Index 2014. The highest possible score is 1 (equality) and the lowest possible score is 0 (inequality)
Rank Economy Score
1 Iceland 0.8594
2 Finland 0.8453
3 Norway 0.8374
4 Sweden 0.8165
5 Denmark 0.8025
6 Nicaragua 0.7894
7 Rwanda* 0.7854
8 Ireland 0.7850
9 Philippines 0.7814
10 Belgium 0.7809
11 Switzerland 0.7798
12 Germany 0.7780
13 New Zealand 0.7772
14 Netherlands 0.7730
15 Latvia 0.7691
16 France 0.7588
17 Burundi 0.7565
18 South Africa 0.7527
19 Canada 0.7464
20 United States 0.7463
21 Ecuador 0.7455
22 Bulgaria 0.7444
23 Slovenia 0.7443
24 Australia 0.7409
25 Moldova 0.7405
26 United Kingdom 0.7383
27 Mozambique 0.7370
28 Luxembourg 0.7333
29 Spain 0.7325
30 Cuba 0.7317
31 Argentina 0.7317
32 Belarus* 0.7300
33 Barbados 0.7289
34 Malawi 0.7281
35 Bahamas 0.7269
36 Austria 0.7266
37 Kenya 0.7258
38 Lesotho 0.7255
39 Portugal 0.7243
40 Namibia 0.7219
41 Madagascar 0.7214
42 Mongolia 0.7212
43 Kazakhstan 0.7210
44 Lithuania 0.7208
45 Peru 0.7198
46 Panama 0.7195
47 Tanzania 0.7182
48 Costa Rica 0.7165
49 Trinidad and Tobago 0.7154
50 Cape Verde 0.7133
51 Botswana 0.7129
52 Jamaica 0.7128
53 Colombia 0.7122
54 Serbia 0.7086
55 Croatia 0.7075
56 Ukraine 0.7056
57 Poland 0.7051
58 Bolivia 0.7049
59 Singapore 0.7046
60 Lao PDR 0.7044
61 Thailand 0.7027
62 Estonia 0.7017
63 Zimbabwe* 0.7013
64 Guyana 0.7010
65 Israel 0.7005
66 Chile 0.6975
67 Kyrgyz Republic 0.6974
68 Bangladesh 0.6973
69 Italy 0.6973
70 Macedonia, FYR 0.6943
71 Brazil 0.6941
72 Romania 0.6936
73 Honduras 0.6935
74 Montenegro* 0.6934
75 Russian Federation 0.6927
76 Vietnam 0.6915
77 Senegal 0.6912
78 Dominican Republic 0.6906
79 Sri Lanka 0.6903
80 Mexico 0.6900
81 Paraguay 0.6890
82 Uruguay 0.6871
83 Albania 0.6869
84 El Salvador 0.6863
85 Georgia 0.6855
86 Venezuela 0.6851
87 China 0.6830
88 Uganda 0.6821
89 Guatemala 0.6821
90 Slovak Republic 0.6806
91 Greece 0.6784
92 Swaziland* 0.6772
93 Hungary 0.6759
94 Azerbaijan 0.6753
95 Cyprus 0.6741
96 Czech Republic 0.6737
97 Indonesia 0.6725
98 Brunei Darussalam 0.6719
99 Malta 0.6707
100 Belize 0.6701
101 Ghana 0.6661
102 Tajikistan 0.6654
103 Armenia 0.6622
104 Japan 0.6584
105 Maldives 0.6557
106 Mauritius 0.6541
107 Malaysia 0.6520
108 Cambodia 0.6520
109 Suriname 0.6504
110 Burkina Faso 0.6500
111 Liberia* 0.6461
112 Nepal 0.6458
113 Kuwait 0.6457
114 India 0.6455
115 United Arab Emirates 0.6436
116 Qatar 0.6403
117 Korea, Rep. 0.6403
118 Nigeria 0.6391
119 Zambia 0.6364
120 Bhutan 0.6364
121 Angola 0.6311
122 Fiji 0.6286
123 Tunisia* 0.6272
124 .6261
125 Turkey 0.6183
126 Algeria 0.6182
127 Ethiopia 0.6144
128 Oman 0.6091
129 Egypt 0.6064
130 Saudi Arabia 0.6059
131 Mauritania 0.6029
132 Guinea* 0.6005
133 Morocco 0.5988
134 Jordan 0.5968
135 Lebanon 0.5923
136 Côte d'Ivoire 0.5874
137 Iran, Islamic Rep. 0.5811
138 Mali 0.5779
139 Syria 0.5775
140 Chad 0.5764
141 Pakistan 0.5522
142 Yemen 0.5145

* New Countries 2014
Home Previous Next Back To Top

Global Gender Gap Report 2014 - Reports - World Economic Forum
 
Hiyo sifa ndo tunaimiss wabongo! Na inatusumbua akili jinsi ya kuipata bila kujali gharama zake, tulijaribu kwa mheshimiwa spika lakini bado hawatuongei kama tumefanya maajabu! Labda tujaribishe raisi mwanamke tunaweza kusikika! 'Sifa za kijinga'
 
'sifaza kijinga tena' ebho
 
  • Thanks
Reactions: kui
ndiyo kwa sababu viongozi wetu wanatafuta sifa zisizo na tija kwa wananchi

nimefikiri argentina, brazil, liberia na pengine malawi ambazo zimekuwa zikiongozwa na kina mama as prezida zitakuwa 10 bora lakini wao pia wameona sifa za upuuzi wameteua wachapa kazi basi hapo hamna kitu kabisa. Liberia mama aliteua kijana wake kuwa gavana wa benki kuu.
 
Hiyo sifa ndo tunaimiss wabongo! Na inatusumbua akili jinsi ya kuipata bila kujali gharama zake, tulijaribu kwa mheshimiwa spika lakini bado hawatuongei kama tumefanya maajabu! Labda tujaribishe raisi mwanamke tunaweza kusikika! 'Sifa za kijinga'

huyo mwanamke mwenyewe mnayemtaka UN kashindwa kazi, wakasitisha mkataba wake. ccm walivyo mambumbumbu wakampokea kama shujaa......
 
KAGAME'S FEAR OF THE 'TOUGHER GENDER'!
It's much more easier for a paranoid despot to manipulate ladies than fellow men!
Does the gender equality work for those in exile like Kayumba Nyamwasa?
 
Wale jamaa hutokwa na povu dhidi ya Rwanda mbona wamechelewa leo, waje mapema na kuiponda hii report jMali , ila duh! nchi yangu Kenya hapa mbona tupo nyuma sana...37. Lakini hata hivyo watani wetu kadoda11 lazima wawe nyuma yetu hata tukiwa chini.
 
Last edited by a moderator:
Wao wanaangalia nani kapewa ofisi regardless amefanya nini huko ofisini...mimi mwanamke lakini napinga ku trade off competence na gender...

Hao wabunge wa Tz mfano wamefanyia nini nchi hii not to say wamewafanyia nini wanawake kwa wingi wao bungeni...mpaka leo sheria ya ndoa inaruhusu ndoa za watoto wa kike below 18...
 
Wale jamaa hutokwa na povu dhidi ya Rwanda mbona wamechelewa leo, waje mapema na kuiponda hii report jMali , ila duh! nchi yangu Kenya hapa mbona tupo nyuma sana...37. Lakini hata hivyo watani wetu kadoda11 lazima wawe nyuma yetu hata tukiwa chini.

lazima muwe juu yetu,udhani kitendo cha wanaume wa kikenya kupigwa na wake zenu ni jambo dogo?!.ndio gender equality yenyewe hiyo.lol
 
Last edited by a moderator:
Wale jamaa hutokwa na povu dhidi ya Rwanda mbona wamechelewa leo, waje mapema na kuiponda hii report jMali , ila duh! nchi yangu Kenya hapa mbona tupo nyuma sana...37. Lakini hata hivyo watani wetu kadoda11 lazima wawe nyuma yetu hata tukiwa chini.

sisi sio haters kama wewe kila kitu tupinge bila sababu.
 
sisi sio haters kama wewe kila kitu tupinge bila sababu.

Hahaha!! leo umechelewa, najua ume-Google usiku wote ukitafuta jinsi ya kuiponda hii, ni vyema umesalimu amri na kutia akili, waache Warwanda waijenge nchi yao, kaungane nao kama wewe Mhutu, na kama wewe Mtanzania jinsi huwa unataka tukuelewe, basi wachana na nchi ya watu. Rudi nyumbani ukamsaidie yule mzee Warioba ambaye tunaona kwenye mitandao jinsi vijana wanamdhalilisha wakati anajaribu kuwezesha nchi kupata katiba nzuri.
 
sawa prophet kanyari umesikika.
 
sisi sio haters kama wewe kila kitu tupinge bila sababu.

really? lawmaina78 akiweka thread ya South Sudan, wewe unamuingiza kagame halafu unasema wewe sio hater. Kawadanganye watanzania wasiokujua. Wewe sio hater to bali ni war monger. Hufai kabisa kwenye jamii inayotaka kuwa na maendeleo.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha!! leo umechelewa, najua ume-Google usiku wote ukitafuta jinsi ya kuiponda hii, ni vyema umesalimu amri na kutia akili, waache Warwanda waijenge nchi yao, kaungane nao kama wewe Mhutu, na kama wewe Mtanzania jinsi huwa unataka tukuelewe, basi wachana na nchi ya watu. Rudi nyumbani ukamsaidie yule mzee Warioba ambaye tunaona kwenye mitandao jinsi vijana wanamdhalilisha wakati anajaribu kuwezesha nchi kupata katiba nzuri.

Hii ndio intellect.

cc jMali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom