kwanini tisiifananishe??
kuwepo huko sio kigezo çha sisi kutoifananisha,labda ufafanue vizuri
by the way tunafananisha hapa sio nchi kwa nchi bali ni uongozi wa nchi na nchi,
uongozi wa Rwanda upo strong na una unajua kutengeneza fursa mbalimbali japo wana rasilimali chache ukilinganisha na sisi Tz,
Kagame na nchi yake wanafaidika na huo uchache wa rasilimali tofauti na sisi ambao tuna kila aina ya rasilimali
Rwanda hata kwenye ukuaji wa kiuchumi wapo kasi sana kutuzidi sisi hivyo lazima tujilinganishe nao tu
NAHISI UNA USHUZI KICHWANI
UNAPOIFANANISHA SWEDEN NA TANZANIA UNAKOSEA SANA
SWEDEN INA POTENTIALS NYINGI SANA ZA KUENDELEA KIUCHUMI KULIKO TZ.
PIA SWEDEN MAENDELEO YAKE YANAONEKANA.
HIYO RWANDA UNAYOISIFIA MPAKA SASA HAWANA MAENDELEO BORA YA KIJAMII KULIKO TZ.
HIYO RWANDA IMEZIDIWA NA TANZANIA KATIKA SEKTA ZOTE.
HIYO RWANDA WANUFAIKA NI KIGALI NA RAIA WENYE KABILA LA RAIS.
EMBU TUJE KATIKA SOCIAL DEVELOPMENT KUAZIA HOSPITALS,PUBLIC TRANSPORTS,INFRASTRUCTURES,SCHOOLS,LARGER UNIVERSITIES N.K.
NA KWENYE ECONOMIC DEVELOPMENTS VIWANDA,MAKAMPUNI MAKUBWA,MILLIONAIRES AND BILLIONAIRES INTERMS OF DOLLARS N.K.
NITAJIE WAPI RWANDA ANATUZIDI???
YANI WEWE HATA CIVICS UNAONEKANA HUJAISOMA POOR YOU.
KAMA KENYA HAIFUI DAFU KWA TANZANIA ITAWEZA RWANDA???
EMBU KUWA NA AKILI