Rwanda has continued sabotaging the deployment of UN Intervention Combat Forces in DR Congo

mkuu unataka dikteta kagame adhihirishe vipi hapendi amani? angeipenda amani ya kweli kwanza angewakaribisha fldr katika meza ya mazungumzo na baadae katika siasa za rwanda, pili angelivunja mara moja genge la wauaji la m 23 aliliolianzisha kwa lengo la kuivuruga DRC ili apate nafasi ya kuiba mali asili ya kongo na tatu angeunga mkono juhudi za umoja wa mataifa, sadcc, na Tanzania katika kupata amani ya kweli ndani ya rwanda na kongo. kinyume chake anafanya mzaha na jeshi la un la kulinda amani kongo eti wameenda kucheza ndombolo! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, hamna aliyejua kama gaddaf angekufa kifo cha aibu kiasi kile pamoja na mengi aliyowafanyia raia wake.

Hapo umenena Mkuu. PK kama hataki kushirikiana na Wanyarwanda Wenzake na pia Kuacha kuichafua Amani ya DRC, Hakuna Jinsi bali ni Kumlazimisha!!
 
Mambo huko DRC yanawkenda spidi sana,faster than the speed of thought. Mambo yanatendeka upesi hakuna hata muda wa kuyafikiria. M23 hawapigani na Tanzania,M23 wanapigana na Blue Helmets wa United Nations. Tazama hizo posting zzangu tano zilizopita,tazama corruption katika United Nations,katika CIA,katika White House,hawa ndio watu ambao tunawaruhusu watugombanishe na ndugu zetu wa Rwanda? HAwa ndio watu ambao waneweza kupatanisha watu DRC? Matatizo hayo ni ingrained in their corrupt CIA and their White House. It is not something that can be ignored, it is not something that anyone can correct.
Jacob Zuma alikwenda Burundi,akawaleta belingerents kwenye confrence table,akawangonganisha vichwa ,akaleta amani ya Burundi. Lakini hapa unataka kuleta amani kwa kupitia Security Council,which is notorious for never agreeing with one another.
 
mkuu unataka dikteta kagame adhihirishe vipi hapendi amani? angeipenda amani ya kweli kwanza angewakaribisha fldr katika meza ya mazungumzo na baadae katika siasa za rwanda, pili angelivunja mara moja genge la wauaji la m 23 aliliolianzisha kwa lengo la kuivuruga DRC ili apate nafasi ya kuiba mali asili ya kongo na tatu angeunga mkono juhudi za umoja wa mataifa, sadcc, na Tanzania katika kupata amani ya kweli ndani ya rwanda na kongo. kinyume chake anafanya mzaha na jeshi la un la kulinda amani kongo eti wameenda kucheza ndombolo! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, hamna aliyejua kama gaddaf angekufa kifo cha aibu kiasi kile pamoja na mengi aliyowafanyia raia wake.

Swali linalonisumbua mimi: Kabila yupo wapi katika yote haya?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kweli hapa umeongea mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Can you cast a light on what's Hima empire ? hakuna kitu kibaya kama ignorance au intentionally inciting hate against a group of people belonging to different countries with different interests and dreams to pursue. ukitaka ka mconfront kagame mwenyewe .. Kagame ni mnyarwanda kwa hiyo ongelea ya rwanda , je watusi wote ni rafiki zake ?
Kwa hiyo tuseme kagame ni mtu hatari kwa kua anatumia tofauti za kimbari kubaki madarakani? Hali halisi anaungwa mkono na watu kutoka mbari ya kitutsi ambao wengi wako tayari kufuata ndoto yake ya kuendeleza ubeberu wa kimbari pote walipo eneo la maziwa makuu. Tuliona burundi, tukaona uganda na sasa kongo inasakamwa. Kwa nini tanzania tusishtuke.
 
kama ni sumu wanyarwanda mmeshakunywa tena kwa hiari yenu, sasa mnatapatapa tunasubiri kuwazika na historia yenu chafu muda si mrefu!

Interahamwe walikuwa wanasema hivyo hivyo lakini wote wananyea debe. Na wewe kwa sababu ni mmoja wao tutakupata tu. Ukajiunge nao huko. Subiri
 
Mambo huko DRC yanawkenda spidi sana,faster than the speed of thought. Mambo yanatendeka upesi hakuna hata muda wa kuyafikiria. M23 hawapigani na Tanzania,M23 wanapigana na Blue Helmets wa United Nations. Tazama hizo posting zzangu tano zilizopita,tazama corruption katika United Nations,katika CIA,katika White House,hawa ndio watu ambao tunawaruhusu watugombanishe na ndugu zetu wa Rwanda? HAwa ndio watu ambao waneweza kupatanisha watu DRC? Matatizo hayo ni ingrained in their corrupt CIA and their White House. It is not something that can be ignored, it is not something that anyone can correct.
Jacob Zuma alikwenda Burundi,akawaleta belingerents kwenye confrence table,akawangonganisha vichwa ,akaleta amani ya Burundi. Lakini hapa unataka kuleta amani kwa kupitia Security Council,which is notorious for never agreeing with one another.

Mkuu, I wish tungekuwa na wengine watano kama wewe. Tungekuwa tumefika mbali. Hayo unayoyasema ni ukweli mtupu. Na ndicho Kagame huwa anasema. Mfano, Uhuru Kenyatta amepelekwa the Hague halafu ndani ya mwka mmoja wananchi wa Kenya wamemchagua kuwa raisi wao. Now, who is right the western powers waliomfungulia kesi au Kenyans waliomwamini wakampa madaraka? Hawa wakina mokala sijui mukora hawajui wanachoongelea. wanashabikia tu.
 
Back
Top Bottom