Rwanda defence force retreat-kigali (picha)

Unajuaje kama na sisi hatuandai. Kwani lazima picha za maandalizi ziwe publicised!! Unless kama una nia ya kuji show off!
 
Unajuaje kama na sisi hatuandai. Kwani lazima picha za maandalizi ziwe publicised!! Unless kama una nia ya kuji show off!

wewe mimi nipo ndani najua kuliko unavyofikiri, jwtz sasahv limebaki kuwa jeshi la siasa hakuna kitu full ufisadi,hauna mipangilio linaendeshwa tu kwa nguvu ya mungu ila usije ukaweka imani yako kwa jwtz incase vita ikitokea hatuna askari jeshini ila tuna watu ambao wamekosa ajira wakakimbilia huku!
 
 

Nawewe ni askari? Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.
 
 
Acheni dharau na kebehi zenu nyie JWTZ ndio taasisi ambayo imesalia nchini ikiwa bado imara kabisa although kuna changamoto nyingi kama ufisadi, dhulma kwa vijana wanaotaka scholarship za kusoma nje, wanasiasa kuliingilia, etc. Bado kuna uzalendo JWTZ ukilinganisha na taasisi nyingine nchini.
 
JK ameua uzalendo woote kwenye taasisi zoote ndani ya nchi hii!ilibakia jeshini lakini nako sasa wameamua kupiga ufisadi kama wenzao maana nao wamechoka kustaafu wakiwa masikini kabisa bila chochote zaidi ya mabuti na magwanda!nao sasa wanapiga kwenda mbele!nani atarudisha ule uzalendo hasa kwenye vyombo vya dola?
 
Ni kweli upo ndani lakini ni ndani ya hilo jeshi ulilotuwekea picha. Labda tu mngejaribu kuwachokoza JWTZ kisha muone.Kijeshi Picha mahala pake ni kwenye album tu na si za kuji show off maana mahala pazuri pa kupima uwezo wa askari ni kwenye field!

 
Kama kweli wanajiandaa basi ni kuwakabili waasi wa FDLR !!!
Hawana ubavu wa Kupiga Tz kule DRC wapo upande wa M23 ambapo bado hawajui kama wote M23 wapo upande wa Rwanda!!!
Kagame yupo kwenye hard time kama atamaliza mwaka sijui???
Hiz propaganda tuziache ziendelee ili wajinga waliwe!!!
 
Wemberuwemberu mshikemshike dogo Kagame mwisho wako unakaribia.
 
Sidhani kama mleta mada alikuwa analenga kulinganisha Tz na Rw kijeshi anajaribu kukumbusha kwamba tusilale tukaendekeza siasa tukaacha kuweka Jeshi letu vzuri.
 
[QUOT E=Mpungati;6656701]Acheni dharau na kebehi zenu nyie JWTZ ndio taasisi ambayo imesalia nchini ikiwa bado imara kabisa although kuna changamoto nyingi kama ufisadi, dhulma kwa vijana wanaotaka scholarship za kusoma nje, wanasiasa kuliingilia, etc. Bado kuna uzalendo JWTZ ukilinganisha na taasisi nyingine nchini.[/QUOTE]

huo ndio uzalendo unao usema wenzako tupo ndani huku tunakwambia things are rotten husikii sijui watanzania tupoje,hv sasa wenzetu wapo mtwara kutuliza ghasia za wananchi wenye hoja za msingi juu ya gesi ya mtwara isiwe bidhaa ya kubadilishana na uzembe wa "***1" kushikwa na madawa china,jwtz hv sasa ni chombo cha kisiasa wewe
 
Upo ndani ya nini wewe acha kutuongopea hapa! Taja force number yako bila ku reveal military id yako kama unaweza! Kama utaweza tunaoelewa tutajua. Lakini mpaka sasa nakuona wewe ni puppet ambaye anapiga propaganda tu!


huo ndio uzalendo unao usema wenzako tupo ndani huku tunakwambia things are rotten husikii sijui watanzania tupoje,hv sasa wenzetu wapo mtwara kutuliza ghasia za wananchi wenye hoja za msingi juu ya gesi ya mtwara isiwe bidhaa ya kubadilishana na uzembe wa "***1" kushikwa na madawa china,jwtz hv sasa ni chombo cha kisiasa wewe[/QUOTE]
 
mkuu naona umepata ugonjwa wa jinamizi ghafla, mambo kama haya kapost jukwaa la watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…