Siyo lazima wote tununue ndege. Mbona sisi tumenunua mashingingi ya kutembelea viongozi mengi kuliko nchi yoyote ile ya Kiafrica labda hata kuliko nchi nyingi za hata Ulaya na Asia.
Rwanda hawatuwezi bana!
Mkuu hapa kwetu ni sawa na kwenda kwa Fundi seremala na ukakaribishwa kukaa kwenye tofali.Natumia nguvu nyingi sana kuukubali Utanzania wangu. Naabika mbele za mataifa wengine. Ni aibu sana ukilinganisha tuliyojaaliwa na hali zetu. Tuna kila kitu Tanzania. Ardhi na maji ya kilimo, bahari, madini, aaaghhh. Naamini kuna laana fulani tunayo Tanzania. Haiwezekani hatuna tunachoweza. Si reli, si ndege hata bandari yetu buree kabisa japo tumependelewa sana kijiografia.
atcl imeanza tena safari zake za dar mwanza
nahisi lugha imekusumbua kidogo hapo, mambo ya mkopo yashapitaga hapo jamaa wanasaini kataba wa kununua hizo ndege, na ukae ukijua ndege sio kama bodaboda kwamba unaenda dukani kuchukua tu, unaweka order ndio jamaa wanakutengenezea, fitina na majungu hayasaidii air tanzania kufufuka!mkuu hawa jamaa utawaweza, mpango wenyewe bado haujakamilika na ndio kwanza wanaomba mkopo wa kununua hizo ndege in terms of salvage value. Wanatupa destinations wakati manunuzi yatakamilika kuanzia septemba mwakani, kwa hiyo zinaweza kuanza biashara januari, 2017 kama wakifanikiwa kupata mkopo.
atcl imeanza tena safari zake za dar mwanza
"salvage value"-it is the estimated resale value of an asset at the end of its useful life au wewe ulikua unamaanisha salvage value ipi bosi,hahahmkuu hawa jamaa utawaweza, mpango wenyewe bado haujakamilika na ndio kwanza wanaomba mkopo wa kununua hizo ndege in terms of salvage value. Wanatupa destinations wakati manunuzi yatakamilika kuanzia septemba mwakani, kwa hiyo zinaweza kuanza biashara januari, 2017 kama wakifanikiwa kupata mkopo.
mkuu hawa jamaa utawaweza, mpango wenyewe bado haujakamilika na ndio kwanza wanaomba mkopo wa kununua hizo ndege in terms of salvage value. Wanatupa destinations wakati manunuzi yatakamilika kuanzia septemba mwakani, kwa hiyo zinaweza kuanza biashara januari, 2017 kama wakifanikiwa kupata mkopo.
atcl imeanza tena safari zake za dar mwanza
mkuu hawa jamaa utawaweza, mpango wenyewe bado haujakamilika na ndio kwanza wanaomba mkopo wa kununua hizo ndege in terms of salvage value. Wanatupa destinations wakati manunuzi yatakamilika kuanzia septemba mwakani, kwa hiyo zinaweza kuanza biashara januari, 2017 kama wakifanikiwa kupata mkopo.
nahisi lugha imekusumbua kidogo hapo, mambo ya mkopo yashapitaga hapo jamaa wanasaini kataba wa kununua hizo ndege, na ukae ukijua ndege sio kama bodaboda kwamba unaenda dukani kuchukua tu, unaweka order ndio jamaa wanakutengenezea, fitina na majungu hayasaidii air tanzania kufufuka!
duh! we bwana, habari za ajabu kama zipi? any Ref? peace and love man!!! Cc: jMalikuzuga ndio nini.!!! Nilijua tu lazima uje hapa.!! Kama kweli zitafika, tunasubiri zifike tutazipanda. Hii sio mala ya kwanza kuleta habari za ajabu ajabu humu na huwa zinaishia hewani.
Watanzania bwana hakuna hata mtu anaeshauri kwanini serikari inunue ndege kutokana na argument ya business opportunity iliyopo. Kitu tunachojua Kenya iliyo invest kwenye viwanja vya ndege kadhaa vyenye hadhi, inayopokea wageni wengi annually kushinda Tanzania na ilipojaribu kusema ifanye investment kwenye ndege imeshia kutafuta madeni makubwa tu.
Leo hii Tanzania ambayo mashirika makubwa kama BA inayofuta hizo route kwa sababu hakuna commercial benefit, KLM ambayo ndege nyingi uishia Kenya kuliko zinazokuja Tanzania direct. Katika mazingira hayo ya kibiashara sisi tunataka serikari ifanye investment ya ndege kubwa kwa kukopa unazipeleka wapi au kuna gap gani ya kushindana kwa ATCL?
Serikari ya Kagame inajulikana kwa kukopa na bunge lake limeshaonyesha huo wasiwasi wao na kwa Kagame wala sio swala linalomsumbua, nadhani kabla auja iga kilakitu tunatakiwa tujiulize kukopa $160+interest hizo ndege zinalipaje hilo deni kwanza na deni lenyewe ni la muda gani.
Mashirika ya ndege yaliyo jaribu tu kufanya strategies za lower prices to lure volume yameishia kufa hao wateja wako wapi wa kuwakopea ndege mpya in the first place, watu awakurupuki nadhani ajira ni tatizo linaloitaji investment zaidi kuliko hili tatizo la kutokuwa na ndege.
Tatizo lako jinga wewe ni vuvuzela tu hivi kuna route ambayo 'Rwanda airs' is aspiring to embark on kutokana na maelezo ya kwenye hiko ki nakala kako uchwara kenya airways aijfanya na bado kushindwa.Ndio akili yako ya kilofa ilipoishia,acha wanaotaka maendeleo wafanye kazi