Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,929
KWAKUWA CUF yaonekana kugawanyika katika makundi mawili: lile linaloongozwa na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na lile la Maalim Seif Sharrif Hamad,
NA KWAKUWA hadi sasa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa hapa nchini inamtambua Prof. Lipumba kama Mwenyekiti wa CUF wa Taifa na Maalim Seif kama Katibu Mkuu,
NA KWAKUWA CUF ina haki ya kupata ruzuku kulingana na matokeo ya uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani wa mwaka 2015,
NA KWAKUWA kuna shauri Mahakamani ambalo kimsingi ni kama linalolenga kuonyesha uhalali wa uongozi mmojawapo kati ya ule wa Prof. Lipumba na ule wa Maalim Seif,
1. Je, ruzuku ya CUF hulipwa kupitia akaunti gani hasa ambayo ilikuwepo hata kabla ya mgogoro?
2. Je, mamlaka gani ya kichama inaweza kubadili akaunti ya kibenki kwa ajili ya malipo ya kichama?
3. Je, kwanini hakukuwa au hakuna makubaliano ya jinsi ya kupokea ruzuku kati ya pande mbili za mgogoro kupisha kumalizika kwa shauri lililopo Mahakama Kuu?
Mwenye kuweza kuyafikisha haya maswali kwa viongozi wa CUF anaruhusiwa kufanya hivyo kwa ajili ya kujibiwa.