Ruvuma: Simba adimu duniani auawa Liparamba

Inasemekana kuwa simba huyo alikuwa dhaifu na mwenye dalili za ugonjwa, jambo ambalo huenda lilimfanya kuvuka mipaka ya pori na kuingia kwenye makazi ya binadamu.
Halafu wanamshika bila gloves baada ya siku kadhaa unasikia mlipuko wa magonjwa yenye virusi visivyojulikana
 
Simba mzee amekonda hadi mifupa
Je kuna rangi gani adimu hapo?.
 
Hao wanamwita simba akiwa hai, akifa ni kitoweo
 
TANAPA wako busy na Arusha tu. Kwa nini hawatangazi vivutio kama hivi na utalii wa Kusini kwa ujumla?
 
Waafrika tukimuona mnyama tunachofikiria cha kwanza kumuua huyo mnyama! Hii ndiyo sababu wanyama wote hata panya hawatupendi, mzungu angetumia bunduki ya dawa ya usingizi na kumrudisha porini au kumtibu kwanza kisha kumrudisha porini, haya sasa tutapata wapi simba mwingine adimu kama huyo!
 
Sio kipindi CHA JPM WEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…