Rusumo: Rais Paul Kagame na John Magufuli wafungua kituo cha mpakani

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
Marais Kagame na Magufuli wakifungua kituo cha mpakani Rusumo baada ya Rais Magufuli kuwasili mpakani na kukaribishwa kwa nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Rwanda.

Rais Dkt. John Magufuli akiwa nchini Rwanda akiwa pamoja na Mwenyeji wake rais wa nchi hiyo Paul Kagame wanatarajia pia kufungua daraja la kimataifa la Rusumo.

Baada ya Uzinduzi huu viongozi hao wawili watakwenda Jijini Kigali ambako watakuwa na mazungumzo muhimu pamoja na kuweka shada la maua ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 nchini humo.

NOTE:
President Kagame: We are happy to receive the President of Tanzania and his delegation to Rwanda with best of Rwanda hospitality. Together we are stronger in East Africa.
President Kagame: I bring you greetings from your brothers and sisters in Rwanda
President Kagame: We want trade to increase because that will be to the benefit of both the people of Rwanda and the people of Tanzania
President Kagame: Peace is the foundation of the kind of cooperation that has potential to transform our two nations
President Kagame: We want trade to increase because that will be to the benefit of both the people of Rwanda and the people of Tanzania.
President Kagame: Peace is the foundation of the kind of cooperation that has potential to transform our two nations.

President Magufuli: I thank President Kagame for the invitation. Rwanda marks the first country I visit since I became President
President Magufuli: I am visiting Rwanda in recognition of our excellent relationship and brotherhood in East Africa
President Magufuli: For the two days I will be in Rwanda, I will learn a lot and I want to assure you that Tanzanians are your brothers.
President Magufuli: Africa has been blessed with resources. All we need is to develop and transform our lives in East Africa
CfWsowfW8AAZDKO.jpg

CfW6CmXXEAEURTG.jpg

CfWkcAcWEAAnseC.jpg

CfW-2c3WAAAKu6c.jpg

CfWlM6BWEAEHvJR.jpg

Raisi wa Tanzania na Rwanda wakipita kwenye Daraja la Rusumo Mara baada uzinduzi wa Daraja Hilo
CfWpbi5XEAAJShO.jpg

CfWpbpuXEAIwqbJ.jpg

One Stop Border kwa Tanzania na Rwanda.
 
Hii ndizo baadhi ya ndondoo za hotuba fupi:
President Magufuli: I thank President Kagame for the invitation. Rwanda marks the first country I visit since I became President

President MagufuliJP: I am visiting Rwanda in recognition of our excellent relationship and brotherhood in EastAfrica

President Magufuli: For the two days I will be in Rwanda, I will learn a lot and I want to assure you that Tanzanians are your brothers.

President Magufuli: Africa has been blessed with resources. All we need is to develop and transform our lives in EastAfrica
 
Marais Kagame na Magufuli wakifungua kituo cha mpakani Rusumo baada ya Rais Magufuli kuwasili mpakani na kukaribishwa kwa nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Rwanda.

Rais Dkt. John Magufuli akiwa nchini Rwanda akiwa pamoja na Mwenyeji wake rais wa nchi hiyo Paul Kagame wanatarajia pia kufungua daraja la kimataifa la Rusumo.

Miundombinu hiyo iliyopo mpaka mwa Tanzania na Rwanda inafungua milango kwa nchi za Afrika Mashariki na katika na Ukanda wa bahari ya Hindi lakini pia ikiwa ni kukuza uhusiano wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Baada ya Uzinduzi huu viongozi hao wawili watakwenda Jijini Kigali ambako watakuwa na mazungumzo muhimu pamoja na kuweka shada la maua ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 nchini humo.

NOTE:
President Kagame: We are happy to receive the President of Tanzania and his delegation to Rwanda with best of Rwanda hospitality. Together we are stronger in East Africa.
President Kagame: I bring you greetings from your brothers and sisters in Rwanda
President Kagame: We want trade to increase because that will be to the benefit of both the people of Rwanda and the people of Tanzania
President Kagame: Peace is the foundation of the kind of cooperation that has potential to transform our two nations
President Kagame: We want trade to increase because that will be to the benefit of both the people of Rwanda and the people of Tanzania.
President Kagame: Peace is the foundation of the kind of cooperation that has potential to transform our two nations.

President Magufuli: I thank President Kagame for the invite. Rwanda marks the first country I visit since I became President
I visit since I became President
President Magufuli: I am visiting Rwanda in recognition of our excellent relationship and brotherhood in East Africa
President Magufuli: For the two days I will be in Rwanda, I will learn a lot and I want to assure you that Tanzanians are your brothers.
President Magufuli: Africa has been blessed with resources. All we need is to develop and transform our lives in East Africa

CfWsowfW8AAZDKO.jpg

CfWpbhDWEAAmC_m.jpg

CfWpbi5XEAAJShO.jpg

CfWpbpuXEAIwqbJ.jpg

Binafsi nimefurahishwa sana tu kuwaona mabingwa wawili wa UJASUSI na wanaoheshimika kwa kazi zao za kutukuka. Mmoja wapo amekaa mkono wa kushoto kwa Msubi na mwingine amekaa mkono wa kulia kwa Mtutsi. Sina shida sana na hao Marais kwani wote ni VIPENZI VYANGU WAKUBWA na nawaombea MAFANIKIO MEMA katika MAJUKUMU yao ili nchi hizi mbili za Rwanda na Tanzania zipige hatua kubwa ya KIMAENDELEO hadi ziwe nchi za uchumi wa kati. Africa ingekuwa na Marais kama hawa hakika tusingenyanyasika na Wazungu!
 
Kagame sio mtu wa longolongo. Kutoa ahadi ambazo kesho yake hukumbuki. Ndani ya Magufuli, anamwona mtu wa mfano wake. Kazi kwa kwenda mbele. Mtu mwenye kutenda anayosema. Mfuatiliaji wa mambo yenye manufaa kwa nchi. Mpinga ufisadi kwa vitendo.
Ni jambo jema kwa hawa viongozi wawili kukutana tena, naamini kabisa watabadilishana uzoefu kwa yale mema ya kujenga mataifa yetu ambayo ni majirani.
 
Ila mie naona hata aibu,
upande wa Rwanda kumekucha pako vizuri lakini kwa upande wa TANZANIA MAMAAAAAAAAA Magufuli rekebeisha Dr

Unaelewa maana ya ONE STOP CENTRE? Ni kwamba jengo ni hilo hilo moja.Mpiga picha kapiga jengo upande wa Rwanda tu.Hajapiga jengo picha upande wa pili wa kutokea Tanzania.Kamera yake sijui ina makengeza kapiga milima badala ya jengo.Lakini alipopiga upande wa Rwanda kapiga jengo.
 
Wewe kinda hata kuchamba hujajua unachafua jamvi kwa uhalo mchafu utokanao na chakula kichafu unacholishwa na wazazi wako. Stup.i.dd
Jinsi MNVYOHAHA WAKIWA tunafurahia...kiboko yenu MAGUFULI..... na wembe kwenu P MAKONDA! Mtanyooka tu!
 
Ndani ya mwezi sita tu tayari ana kitambi!!! Kwa kagame naona kaenda kujifunza mambo matatu ambayo ni sifa ya kagame.

1. Kubadili katiba ili aendelee kutawala make siku ya kuapishwa aliwasifia sana wanyarwanda kwa kubadili katiba yao ili kagame aendelee kutawala.

2.kuwadanganya wananchi kuwa unapambana na ufisadi huku akiwa ni mmoja wa viongozi waliotajwa katika kashfa ya kuficha pesa kule Panama.

3.ujasiri wa kuwaweka ndani wapinzani wake kwa kisingizio cha uhaini.

Ukiwa Rais wa nchi yoyote ya Africa halafu humuigi Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa jinsi anavyoongoza nchi basi utakuwa ni " lofa wa malofa ". Halafu acha upotoshaji na usidhani watu hatufuatilii sakata zima la PANAMA PAPER SCANDAL kwani hakuna mahala popote Rais wangu Paul Kagame anahusika na haitotokea siku akahusika huko. Ungekuwa kidogo una a,b,c's za management na governance ungefahamu kuwa Kiongozi yoyote lazima awe na sifa kuu nne za kiutawala

  1. Authoritarian.
  2. Laissez - faire.
  3. Democratic.
  4. Dictatorship.
Hivyo basi sifa hizo zinatumika sana tu ila kwa tabia za Kiafrika za kuwa na ubishi, kimbelembele, uvivu na majungu ili Rais uweze kufanya kazi zako vizuri unashauriwa uzitumie sana hiyo ya namba 1 na namba 4 ili Wananchi wako wanyooke na washike adabu na ndiyo style kuu ya Msubi na Mtutsi. Hivi unadhani kwa tabia hizi za Vijana wa Kitanzania kwa mfano saa mbili tu asubuhi wanabinuka binuka tu kucheza pool Rais usipokuwa very draconian utaongoza au watakuelewa? Binafsi napenda mno mtu mbabe mbabe au Kiongozi mbabe mbabe na akiwa Dikteta ndiyo kabisa ananikosha! Waafrika tunapenda kupelekeshwa kama punda na hatutobadilika kwani imeshatuingia hadi damuni.

Namba mbili ( Laissez - faire ) inatumika sana Scandinavian countries na kidogo katika Tiger nations na hiyo namba tatu inatumika sana huko Ulaya na Marekani kutokana na kwamba ustaarabu kwao ulianza mapema sisi tukiwa bado tumelala usingizi wa pono.
 
Back
Top Bottom