Russians vote Tanzania as their best travel destination for 2018

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
1542875372059.png

ATCL na TTB fanyieni kazi hii isiwapite hivihivi.
I expect a roadshow in MOSCOW and St. Petersburg!
 
Utalii sio ku vote ni kusafiri.....kwani wa rusi wangapi wanao kuja Tz? tuseme ukweli
Hii poll inaonyesha kwamba kuna potential. Huenda wengi wanatamani kuja ila labda hakuna taarifa za kutosha au labda tour firm za kule hazina packages za huku
 
Hii poll inaonyesha kwamba kuna potential. Huenda wengi wanatamani kuja ila labda hakuna taarifa za kutosha au labda tour firm za kule hazina packages za huku
Mkuu hilo liweke sawa wana "potentiality without willingness" au wana "willingness without potetiality" wangekua na potetiality and willingness wangekua wameshafika hapa....sio lack of information abt Tz, kama hawana information wasinge vote Tz.
 
Back
Top Bottom