Russian Speaking Guides

Russian Speaking Guides

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Habari zenu wadau.?

Ninahitaji vijana wanaweza kufanya kazi ya Tour Guides, wawe na sifa zifuatazo:

1.Awe na uwezo mzuri wa kuzungumza Kirusi kwa ufasaha mkubwa
2.Awe na afya njema
3.Awe na uwezo wa kupanda mlima Kilimanjaro au kuongoza wageni kwenye mbuga za wanyama,awe na uelewa mkubwa juu ya wanyama.
4.Wanaoishi maeneo ya Arusha au Moshi watapewa kipaumbele.

5.Awe na tabia njema hasa ya Uaminifu
6.Awe na wadhamini wa kuaminika.

kumbuka kazi ni ya mkataba.Wanawake na Wanaume wanaruhusiwa kutuma maombi ya kazi.

Namna ya kutuma maombi,andika barua yako ambatanisha na CV:

Email: tours@infotanzania.net

Ofisi yetu ipo Arusha.Ila hatuhitaji ulete maombi kwa njia ya mkono.

Mwisho wa kutuma maombi ni 30/05/2014.
 
Ok nice job,ila tafadhali mngeweka ufasaha wa ofisi yenu ilipo hpo hasa kíjengo na mahali(location).. arusha ili wana uzi waweze kuwa na uhakíka,kwani wengi tumekutana na Blackmail kama hzi ambazo mwisho wa time unakuwa umepoteza muda wa kufuatilia na kuacha kazi zingine zikikupita. Najua huenda hamtaki kuweka location ya ofisi ynu kuepuka kugongewa hodi na kero za watafuta ajira .! Think on this HRM.
 
Tupo Sakina,Arusha ila siwezi taja jengo zilipo ofisi zetu kwa kuogopa hodi za mara kwa mara.Kwani kuna shida gani ukituma cover letter na CV yako kwenda tours@infotanzania.net Nafasi hii haina haja ya kuwa na longo longo na hakuna mtu anayetaka utume pesa na nk.Kwani unapotuma maombi ya kazi unakuwa na uhakika gani na kupata hiyo kazi,zaidi ya kuamini,ila kwa sisi tunahitaji watu wengi wanajua Kirusi.Majibu ya watakaochaguliwa tutatuma kwa email zao pia au kuwapigia simu,sidhani kama utakuwa umepoteza mwingi kufuatilia kazi hii. Asante.!
Ok nice job,ila tafadhali mngeweka ufasaha wa ofisi yenu ilipo hpo hasa kíjengo na mahali(location).. arusha ili wana uzi waweze kuwa na uhakíka,kwani wengi tumekutana na Blackmail kama hzi ambazo mwisho wa time unakuwa umepoteza muda wa kufuatilia na kuacha kazi zingine zikikupita. Najua huenda hamtaki kuweka location ya ofisi ynu kuepuka kugongewa hodi na kero za watafuta ajira .! Think on this HRM.
 
Ok nice job,ila tafadhali mngeweka ufasaha wa ofisi yenu ilipo hpo hasa kíjengo na mahali(location).. arusha ili wana uzi waweze kuwa na uhakíka,kwani wengi tumekutana na Blackmail kama hzi ambazo mwisho wa time unakuwa umepoteza muda wa kufuatilia na kuacha kazi zingine zikikupita. Najua huenda hamtaki kuweka location ya ofisi ynu kuepuka kugongewa hodi na kero za watafuta ajira .! Think on this HRM.
Hawana office
 
Wewe unataka tukutajie ofisi ilipo, ili uje kuleta maombi kwa mkono au.? Kikubwa jiulize una sifa tajwa hapo juu..? Usipoteze muda kutuma email kama huna sifa,kujua lugha hakuna magumashi,kuna watu wameanza kutuma emails,tunaendelea kuzifanyia kazi.

Mimi huwezi kunilipa huwa nafanya tour guide kwa hapa dsm
 
Office ipo sebuleni kwake ndio maana hatoi location
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom