Russian President says the only thing he likes about America is 2PAC

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,091
Reaction score
34,899
[

Vladimir Vladimirovich Putin has been the President of Russia since 7 May 2012 and has recently been put on President Obama's

Sanction (shit) list for his involvement in what's happening over in the Ukraine. It was actually one of The Russian President cabinet members whom was recently quoted in an article stating "I see the

decision by the administration in Washington as an acknowledgment of my service to Russia. It's a big honor for me. I don't have accounts abroad. The only things that interest me in the U.S. are Tupac Shakur, Allen Ginsberg, and Jackson Pollock. I don't need a visa to access their work. I lose nothing."

“Tupac Shakur is a genius, and the fact that he was in prison did not interrupt either his creative juices or the innovative development of the United States.”
I guess that means in other words "Its no Biggie" .
Ms SpaLyfe

Follow Me on Twitter

Russian Prez say the only thing he likes about America is 2PAC - Hoodx
 
Attachments

  • Putin.jpg
    Putin.jpg
    22.9 KB · Views: 1,837
putin wa kuacha tu,alishawahi kumblock obama facebook,mjaluo alimind sana...
waziri mkuu wa australia akatishia putin akienda australia atampiga,,,,putini akaenda na manowari za kivita,zikatia nanga baharini karibu na australia,,jamaa akawa mpole
 
Ha ha haaaa...sijui na mimi niku Block ili niwe kama Putin!!!
 
putin wa kuacha tu,alishawahi kumblock obama facebook,mjaluo alimind sana...
waziri mkuu wa australia akatishia putin akienda australia atampiga,,,,putini akaenda na manowari za kivita,zikatia nanga baharini karibu na australia,,jamaa akawa mpole

Putin ni kichwa...dunia inahitaji watu kama hao ili kupunguza upuuzi wa waMarekani!
 
Putin alienda Marekani enzi za utawala wa bush.. Akamkuta bush ana ka mbwa wale wa mbegu fupi wadogo sana. Putin huwa ana mbwa mkubwa jike. Akamuambia Bush ni aibu kwa rais anaejiita kuwa nchi yake ni super power kuwa na ka mbwa kadogo na kadhaifu kama cha George Bush. Putin akaanza kumsifia mbwa wake.. She is stronger.. Muscular and faster than yours.. Hahahahaa ingieni mitandaoni hata wikipedia muone
 
putin wa kuacha tu,alishawahi kumblock obama facebook,mjaluo alimind sana...
waziri mkuu wa australia akatishia putin akienda australia atampiga,,,,putini akaenda na manowari za kivita,zikatia nanga baharini karibu na australia,,jamaa akawa mpole

Hahaha ubabe juu ya ubabe
 
Putin katika ubora wake.. Kama makaveli angekuwa hai, hope angepata mualiko wa kupuliza mjan ndani ya ikulu ya russia na mr. Prezda
 
putin wa kuacha tu,alishawahi kumblock obama facebook,mjaluo alimind sana...
waziri mkuu wa australia akatishia putin akienda australia atampiga,,,,putini akaenda na manowari za kivita,zikatia nanga baharini karibu na australia,,jamaa akawa mpole
Eti obama alimind..daah watu waongo sana asee.
 
Back
Top Bottom