Russian Fighter Blows Himself Up to Avoid Capture by Jihadists

Russian Fighter Blows Himself Up to Avoid Capture by Jihadists

Teh!, wakati mwingine inakuwa vigumu kuwa mzalendo wa kweli.
Na unaweza kujitolea kwa ajili ya nchi halafu hata huyo Jemedari Mkuu wa nchi asije kutoa pole kwa ndugu na jamaa.
Kwanza hata kwenye msiba haji ndo kwanza ataenda kuzindua kisima.
 
Nimemkumbuka Alexander Proroshenko kama sijamkosea yeye alipelekwa kule syria maaeneo ya Palymira alipoona amezungukwa pande zote aliwataarifu wakuu wake pake alipo wapashambulie na mabomu ya ndege.

Japo kuwa wakuu wake walimwambia hawataweza kufanya hivyo ila aliwaamuru wafanye hivyo
Sikosei ilikuwa mwaka 2016 hyo,jamaa alivyozungukwa na maadui,akapga airstrike zije,alipokuwa akitafta sehemu ili awambie sehemu gani wapige ili yeye asijeruhiwe,alichokifanya akawambia pigen pale nilipo.wakasita bdae ikabid wafate amri marubani.mzgo ukapgwa akafa na maadui.
Putin akamtangaza kuwa shujaa,na akapewa medal ya heshma kubwa sana.
Ni dogo mdogo tu alikuwa,miaka 25 tu lakn alikuwa mzarendo,leo hawa askar wetu wanavamia raia na kuwaonea huo ndo uzalendo!ulaya mwanajesh ukimpga raia wewe jua kifo kinakuhusu.
 
huyu ni MWANAMUME wa kweli!!
atakuwa mtumiaji wa dume kondomu huyu..
 
Back
Top Bottom