Russian Ambassador to Turkey Andrei Karlov shot dead in Ankara

Sidhani sana wana mahusiano hayo mazuri. ukitegemea baada ya lile swala la ndege yake kudunguliwa na rubani wake kuuwawa akiwa anateremka na mwavuli na baada vuta nikuvute chini ya kiburi cha usa, russia walirusha makombora ambay yalilipua misafara ya turkey ambayo ilikuwa ya magendo na baadhi ya raia wa turkey waliuwawa(wanajeshi) sasa sitarajii kuwa kutakuwa na mahusiano mazuri
Waliyamaliza serikali ya uturuki wanailipa familia ya marehemu,wanagharamia kila kitu

Pia wamelipa ndege

Na saizi mahusiano yao yameimarika December 6 waziri mkuu wa uturuki alikuwa Moscow na baada ya mapinduzi kufeli rais wa uturuki alienda Moscow ,wengi wanadai alienda kumshukuru Putin kwa kumsaidia makomandoo na pia tokea mapinduzi yafeli rais wa uturuki anawalaumu USA tu na kujiegemeza urusi tiyari wamesha resume mahusiano .
 
Acha uchochezi hili tukio sio la kuingiza vita ni gaidi kaua ukienda kupiga nchi nzima ile ya Uturuki kwa ajili ya chizi mmoja utakua na akili au matope? Russia ni nchi kubwa inaweza kukanyaga turki kwa sekunde tu kwisha
 
Mbona ndege ilivyotunguliwa pilot akafa ,hakufanya. Chochote
Mkuu wee unaishi dunia gani? Hujaskia Edorgan alienda Rusia 3 Sep unajua alienda kufanya nini? Siyo lazma waishambulie Turkey kwa mabomu wanawawekea vikwazo tu hadi wanyewe wanapiga magoti
 
Mkuu wee unaishi dunia gani? Hujaskia Edorgan alienda Rusia 3 Sep unajua alienda kufanya nini? Siyo lazma waishambulie Turkey kwa mabomu wanawawekea vikwazo tu hadi wanyewe wanapiga magoti
Hili tukio huwezi kuilamu serikali
Shooter alikuwa gaidi

Kikubwa watayamaliza kidiplomasia ,uturuki atalaumiwa tu sabb ya ulinzi ,pia secret service walikuwa wapi muda wote huo
 
Hayo ni majibu ya Obama kwa Putin Baada wa kuwabambikia Wamarekani Raisi.

USA inahusika moja kwa moja.!
Before the attack happened, a meeting of the Russian, Turkish and Iranian foreign ministers had been planned in Moscow for Tuesday.
Conspiracy? Inawezekana kabisa, kwa sababu uturuki na urusi wwanshirikiana vizuri tu
idawa maalimu shewedy
 
Tutegemee lolote kifo hicho kinaweza kuwapa presha uturuki. erdogan akileta kile kichaa chake kwa putin kwa msaada wa usa nadhani ata kama trump atakuwa uturuki zikianza vita(japo hatutarajii) wamarekani wataondoka tu hawataki kuingia mzozo na russia
Ni kweli mkuu, maana wakijaribu kuingilia basi ujue mda si mrefu Washington utasikia imeanguka
 
Waliyamaliza serikali ya uturuki wanailipa familia ya marehemu,wanagharamia kila kitu

Pia wamelipa ndege

Na saizi mahusiano yao yameimarika December 6 waziri mkuu wa uturuki alikuwa Moscow na baada ya mapinduzi kufeli rais wa uturuki alienda Moscow ,wengi wanadai alienda kumshukuru Putin kwa kumsaidia makomandoo na pia tokea mapinduzi yafeli rais wa uturuki anawalaumu USA tu na kujiegemeza urusi tiyari wamesha resume mahusiano .
Mkuu hebu nifafanulie jinsi hao makomandoo walivyo msaidia rais wa Turkey asipinduliwe
 
Back
Top Bottom