ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,418
- 9,599
Iran hajawahi vumbua silaha yoyote,labda kuunda na kama kuunda Israel kwenye hiyo sekta yupo vizuri sana na anauza silaha Marekani, India mpaka UrusiIvi hiki kitaifa cha Israel mbona lenyewe silioni kwenye mnyukano wakuvumbua silaha kali kali,, wanaotamba ni irán, Usa, russia, north korea etc,
Iki kitaifa cha Israel kinachosifiwa sifiwa ña waisrail wanywa gongo wa tz mbona chenyewe sijawaisikia wametoa silaha yoyote ambayo inasifika kwa ubora, mí nadhani usalama wa Israel upo mkononi mwa Usa, waisrael kukosa América saizi ishafutwa