Russia will quite International Space Station Over sanctions

Russia will quite International Space Station Over sanctions

Marekani alikuwa nayo "Space Shuttle Challenger" lakini sijui imekuwaje hakitumiki.
Challenger ililipuka mda mfupi baada ya kuruka.

Space shuttle ikiisha muda wake wa matumizi.

Sasa hivi anasafiri kutegemea Soyuz ya Mrusi.
 
Uwe na akili. Russia walikishusha hilo dubwasha marekani ndio itakayoathirika sana kwani hilo dubwasha ndio tegemeo kubwa ktk kuwasafirisha wanaanga wao. Russia wanataka kulishusha makusudi kuikomoa USA kwa vikwazo vyao vya kijinga walivyoviwaka wakati kuna mambo yao yanakwenda vizuri kwa kushirikiana na Russia
[emoji5][emoji5]
 
Quit vs Quite tell them to make corrections over there ! Then no any impact at all , even they don’t trust what ever they do on their own

Let us share with you the questions Russian residents always ask themselves!

Tsar Putin hiding lover Alina Kabaeva and their kids in Switzerland. why not in Omsk or Voronezh ? are they the real patriots or "foreign agents"?​

Not only that ! Another one is adding "Rotenberg's son has Finnish citizenship and they live there, Lavrov's daughter in New York, Peskov's daughter in Paris - Lisa lives and studies in France, son Nikolai was tried in the UK and spent more than a year in an English prison, his wife owns an apartment in the USA with an area of 126 m 2. Zolotov's grandson in England, At the nightingale (telepropagandist) - a villa on Lake Como (near Milan), Italy, and a residence permit there ... at Malysheva in the USA. Vladimir Zhirinovsky has Spanish citizenship, Igor Lebedev (son of Zhirinovsky) has a US green card, Spanish citizenship and Swiss permanent residence, Mikhail Berulava has a residence permit of the Czech Republic, Irina Rodnina has US citizenship. Gennady Timchenko is a friend of Putin, (one of the “kings of the state order” and the largest exporter of Russian oil) is a citizen of Finland, his wife and daughter are also. Since 2014, under sanctions, forced to live in the Russian Federation. This list can be continued indefinitely... Do not be too lazy to look on the Internet for a list of officials with foreign citizenship. Hair stand on end!! all patriots of the Moscow Horde? Or foreign agents?"

Britanicca
Acha Warussi wa Kinondoni Moscow waitukuze Kremlin wakati wanaoishi Kremlin wenyewe maisha yao yote wamewekeza kwa Mabeberu[emoji3]
 
Russia hawaiamin nchi yao
Nani hataki kwenda kuishi Peponi ya Duniani? Usishangae hata Putin mwenyewe akaishia kumalizia uhai wake kwa mojawapo ya Nchi hizo,ni vike tu kapuyanga hapa mwishoni [emoji3][emoji3]
 
Isukumwe,hua inasukumwa na nini ?
Wakienda mwezini huitafuta njia ya mwezi kuizunguka dunia kwanza na huzunguka mara kadhaa ndo hutua mwezini,,,kwa Nini waitafute njia ya mwezi?kwa Nini wauzunguke mwezi kwanza?wanadai wanatua baada ya mwez kuwa karibu na dunia,wakienda watatu anatelemka mmoja tu,,,Nina hamu ya kuyajua haya kama hutojali(samahani nipo nje ya mada(
Inasukumwa kwa kutumia engine za moja ya models zilizoungwa hapo inajulikana kama Zvezda Service Module au sometimes inasukumwa na space craft ili kumantain speed isije ikashuka chini.
Kuhusu kwenda mwezini, as far as I can remember binadamu kaenda mwezini mara moja tu, na hajawahi kurudi. Hili jambo lina utata mwingi maana kuna wanaodai ni kamba na mimi naungana nao. Yani kama aliweza kwenda miaka hiyo wakati hata comp walizokuwa wanatumia zinazidiwa nguvu na calculator za sasa, iweje leo iwe ngumu mpaka mission ya kurudi iwekwe mbele.
Vyombo visivyo na rubani hivyo vinaenda hata china chombo chake kiko huko.
Kuhusu suala la mwezi, sijakuelewa ila nachojua mwezi unazunguka dunia pia, na vyombo vinaruka kutokea station maalum, sasa labda huenda wanapiga hesabu mwezi utakapokuwa angle flani ndipo waruke.
Ila sijaelewa vizuri swali lako mkuu
 
Shukrani,,,napenda sana masuala ya anga za mbali,ukipata wasaa tuandalie makala.
 
Nani hataki kwenda kuishi Peponi ya Duniani? Usishangae hata Putin mwenyewe akaishia kumalizia uhai wake kwa mojawapo ya Nchi hizo,ni vike tu kapuyanga hapa mwishoni [emoji3][emoji3]
Ushawahi hata kufika Moscow mzee baba? Its a very beautiful city mzee. Usidhani ni kama das'lam. Labda sababu ziwe za kiusalama ila kwa beauty tu...wala!
 
Isukumwe,hua inasukumwa na nini ?
Wakienda mwezini huitafuta njia ya mwezi kuizunguka dunia kwanza na huzunguka mara kadhaa ndo hutua mwezini,,,kwa Nini waitafute njia ya mwezi?kwa Nini wauzunguke mwezi kwanza?wanadai wanatua baada ya mwez kuwa karibu na dunia,wakienda watatu anatelemka mmoja tu,,,Nina hamu ya kuyajua haya kama hutojali(samahani nipo nje ya mada(
Nikitulia nitaandika ninachojua, its very interesting. Ukipata mda angalia documentary za Space Shuttle, final countdown. Kuanzia Apollo, Antlatis, Columbia, Challenger, Discovery na Endeavour...utakuwa amazed na uwezo mkubwa ambao our fellow humans have.

Ila tangu 2011 USA hawatumii Shuttle zake, zote/baadhi zipo makumbusho na sasa wana tumia Soyuz ya wausi kwenye Space mission.
 
Unistue,,,ila lalia zaidi mission za Urusi wale wengine utastukia na katuni wamekuchanganyia wanakeraa.
 
Ushawahi hata kufika Moscow mzee baba? Its a very beautiful city mzee. Usidhani ni kama das'lam. Labda sababu ziwe za kiusalama ila kwa beauty tu...wala!
Sijawahi kufika na wala sitarajii kwenda huko kamwe.Nikitaka kwenda nitaenda LA,NY,Paris,Venice na miji kama hiyo.Huko Moscow nendeni nyinyi Wakomunist masalia ,maana hata Putin mwenyewe mabinti na mchepuko wake wanaficha mapesa yao na kumiliki Assets kwa Kiranja Mkuu,kwanini basi wasiwekeze hapo hapo Moscow [emoji3]
 
Back
Top Bottom