Russia will quite International Space Station Over sanctions

Russia will quite International Space Station Over sanctions

Russia walikuwa na kituo chao binafsi kabla na walikiangusha safely duniani miaka ya tisini na au elf mbili na ulitokea mjadala mkubwa marekani akidai kwamba kitaleta madhara makubwa lakini kumbe Russia walishapiga hesabu kabla jinsi ya kukishusha na kikaanguka bila madhara sehemu isiyo na watu
Nadhani wanaweza omba corporation na kituo Cha anga Cha china(Tiangong) .maana nasikia Kenya,Ethiopia nao tayari wanaomba corporation na wachina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe na akili. Russia walikishusha hilo dubwasha marekani ndio itakayoathirika sana kwani hilo dubwasha ndio tegemeo kubwa ktk kuwasafirisha wanaanga wao. Russia wanataka kulishusha makusudi kuikomoa USA kwa vikwazo vyao vya kijinga walivyoviwaka wakati kuna mambo yao yanakwenda vizuri kwa kushirikiana na Russia
Huweza kumkomoa tajiri hata ufanyaje.
 
Will "quit" or "quite"? Hii lugha ngumu sana. Nimesikia mtu jana akisema kuwa kwenye sikukuu atakula "lice" badala ya "rice"!!
1651568231038.png

The head of Russia’s space program said Moscow will pull out of the International Space Station, state media reported, a move it has blamed on sanctions imposed over the invasion of Ukraine.

“The decision has been taken already, we’re not obliged to talk about it publicly,” Tass and RIA Novosti reported Roscosmos General Director Dmitry Rogozin as saying in an interview with state TV on Saturday. “I can say this only -- in accordance with our obligations, we’ll inform our partners about the end of our work on the ISS with a year’s notice.”

Rogozin earlier this month threatened to end Russia’s mission unless the U.S., European Union and Canada lifted sanctions against enterprises involved in the Russian space industry.
relates to Russia Will Quit International Space Station Over Sanctions
Moscow Mayor Sergei Sobyanin, Russian President Vladimir Putin, and Roscosmos General Director Dmitry Rogozin visit the “Space” pavilion at the VDNH exhibition center in Moscow in 2018.
Maxim Shipenkov/AFP/Getty Images

The orbital research space station had until the war remained a rare area of cooperation between Russia and the U.S. and its allies despite steadily worsening relations. But Russia’s unprecedented international isolation since it invaded Ukraine in February has marked the demise of this symbol of joint space exploration.

Read More: Space Station Confronts Dire Future as U.S.-Russia Ties Collapse

Three Americans and an Italian astronaut docked at the space station on Wednesday, joining three other Americans, three Russians and a German already on the ISS.

NASA, which plans to operate the space station through 2030, has continued to use Russian Soyuz spacecraft to transport astronauts to and from the ISS since retiring shuttles in 2011. The U.S. space agency is now relying more on private space flights. Elon Musk’s SpaceX launched the four astronauts for NASA and the European Space Agency on Wednesday.
 
Mwl wa kiingereza wasalimie hapo darasa la 5B.
mkuu sometimes unapoandika keyboard nayo inajifanyia auto correction,kwahiyo jikite kwenye mada kama huelewi pita kushoto kuliko kukata mauno hapa
 
The head of Russia’s space program said Moscow will pull out of the International Space Station, state media reported, a move it has blamed on sanctions imposed over the invasion of Ukraine.

“The decision has been taken already, we’re not obliged to talk about it publicly,” Tass and RIA Novosti reported Roscosmos General Director Dmitry Rogozin as saying in an interview with state TV on Saturday. “I can say this only -- in accordance with our obligations, we’ll inform our partners about the end of our work on the ISS with a year’s notice.”

Rogozin earlier this month threatened to end Russia’s mission unless the U.S., European Union and Canada lifted sanctions against enterprises involved in the Russian space industry.

relates to Russia Will Quit International Space Station Over Sanctions Moscow Mayor Sergei Sobyanin, Russian President Vladimir Putin, and Roscosmos General Director Dmitry Rogozin visit the “Space” pavilion at the VDNH exhibition center in Moscow in 2018.
Maxim Shipenkov/AFP/Getty Images

The orbital research space station had until the war remained a rare area of cooperation between Russia and the U.S. and its allies despite steadily worsening relations. But Russia’s unprecedented international isolation since it invaded Ukraine in February has marked the demise of this symbol of joint space exploration.

Read More: Space Station Confronts Dire Future as U.S.-Russia Ties Collapse

Three Americans and an Italian astronaut docked at the space station on Wednesday, joining three other Americans, three Russians and a German already on the ISS.

NASA, which plans to operate the space station through 2030, has continued to use Russian Soyuz spacecraft to transport astronauts to and from the ISS since retiring shuttles in 2011. The U.S. space agency is now relying more on private space flights. Elon Musk’s SpaceX launched the four astronauts for NASA and the European Space Agency on Wednesday.
will quit or will quite? Moderator
 
Bajeti ya iss haitoki Russia babu ila wanasayansi wa Russia wanategemewa sana kwa hizo issue kwa sababu wao ndo mabingwa wa mambo ya anga duniani si unaona wamekwambia hapo hata chombo kinachotumia kuwapeleka na kuwarudisha ni cha ki Russia
Russia wanategemewa sana kwa hizo issue kwa sababu wao ndio mabingwa wa mambo ya anga duniani,,,,,,,,,huo mstari nimeusoma na bado naendelea kuusoma daaah
 
Hata hivyo hata kabla ya vita taarifa zilizokuwepo ni kwamba Russia alikuwa ana mpango wa kuitelekeza maana muda wake wa matumizi umekaribia kufika ukingoni hivyo US ndiye alikuwa ana mpango wa kulidondosha baharini wakati huo huo sijui ni space x design kama walipropose iendelee kuwa angani.
Maana ili iendelee kukaa angani lazima baada ya kila muda isukumwe kuiongeza kasi ambayo uwa inapungua.
Sijui ikidondoka baharini itakuwaje maana ina tani 406
Isukumwe,hua inasukumwa na nini ?
Wakienda mwezini huitafuta njia ya mwezi kuizunguka dunia kwanza na huzunguka mara kadhaa ndo hutua mwezini,,,kwa Nini waitafute njia ya mwezi?kwa Nini wauzunguke mwezi kwanza?wanadai wanatua baada ya mwez kuwa karibu na dunia,wakienda watatu anatelemka mmoja tu,,,Nina hamu ya kuyajua haya kama hutojali(samahani nipo nje ya mada(
 
Bora walishushe tu kwanini kuishi angani wakati Mungu katupa Ardhi nzuri hapa Duniani.
 
Russia walikuwa na kituo chao binafsi kabla na walikiangusha safely duniani miaka ya tisini na au elf mbili na ulitokea mjadala mkubwa marekani akidai kwamba kitaleta madhara makubwa lakini kumbe Russia walishapiga hesabu kabla jinsi ya kukishusha na kikaanguka bila madhara sehemu isiyo na watu
ilikuwa miaka ya 90
 
Back
Top Bottom