Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Hii ishu ya Syria wakuu ukiitizama kwa jicho la tatu itakuja kuwa na mwisho mbaya Sana kwani mambo yanavyoenda hata hayaeleweki kabisa tena Kama hii ishu ya chemical gas ya juzi inaonekana Kama imesukwa makusudi kwa lengo mahususi ,vita ya nyuklia inanukia kabixa
 
Long live Israel. Bwana Mungu wa Yakobo akiwa upande wako, nani wa kushindana nawe? Na ameapa hatokuacha kamwe sawa sawa na Neno lake. Mwisho unajulikana kabla ya mwanz haujawepo.. Bwana jina lako libarikiwe. Amen.
 
Urusi hana vitu,vyombo vyake vingi vilitengenezwa kabla ya haijavunjia.kwa sasa hana vyombo basi tu ni putin ana amini anaweza zuia vita hii sababu syria ni njia mija wapo wa kuelekea mwisho wa dunia.
 
Aliyoyasema kuhusu Syria na anayofanya sasa hivi ni tofauti kabisa! Tuombe tu mrusi akae pembeni vinginevyo maisha yatabadilika sana shuhudia bei ya petroli itakavyopanda na hivyo kupandisha bei ya kila kitu.

Dah, nadhani wote waliomchagua Trump wakidhani ataachana na hii vita watakua disappointed sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…