Russia-Ukraine tension

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
362
Reaction score
909
Wapo wanao tazama vita hii ya Urusi na Ukraine kama "intimidation of diplomatic tactics (mbinu za kiufundi katika diplomasia ya kijeshi)"

Hivyo uona kuwa vita kamili haitapiganwa kamwe, wengi husema kuwa kila upande unajaribu ''balance of terror'' hii inamaa kwamba kila upande unajaribu kutisha.

Hivyo....

Purukushani za makombora na virupuzi zitakuwa ndani ya ukanda wa Donbass yani miji miwili ya Donetsk na Luhansk na nyingine za kushtukizana ndani ya Ukraine lakini vita kamili ni gharama mno kwa kila upande.

Urusi atapata tabu na vikwazo, lakini Putin anajua gesi yake ni kete muhimu, Uchumi wa magharibi ukianza kuyumba kwa bei kubwa ya gesi, watalegeza masharti.

Gesi nyingi itatoka Marekani na sehemu kama Qatar, lakini haitatosha, Pia China itaisaidia sana Urusi.

Mwisho watarudi kwenye maongezi baada ya viongozi kadhaa wa magharibi kupoteza vyeo kwenye Nchi zao.

Tusubiri tuone.

Ndimi Comred Mbwana Allyamtu
 
wabongo wanapenda umbeaaaa msada sifuri
 
Mie Nimeipenda hiyo Katuni
 
Wananchi wa Russia ndio wataasi baada ya maumivu ya vikwazo kutovumilika kwa wananchi wengi.
Sio jambo jipya kwao.....je upande wa 2 wa watetea mashoga wananchi wao wataweza himili vishindo maisha yakianza kua ghali?tena hao kuwapigia kelele viongozi wao ni fasta kuliko huko kwa putin
 
#BIG:[emoji599] Russia ready to negotiate Ukraine's surrender: Kremlin

#RussiaUkraineConflict
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…