Russia sends Syria upgraded anti-ship cruise missiles

Russia sends Syria upgraded anti-ship cruise missiles

Izz

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
750
Reaction score
322
US officials report the delivery to the Syrian government of Yakhont anti-ship cruise missile updated with advanced radar for extending its range and accuracy. It is designed to counter any effort by international forces to supply Syrian rebels from the sea, impose a naval embargo, establish a no-fly zone or carry out limited strikes.The improved Yakhont enables Syria to keep Israeli missile ships far from its coast and block troop landings..
c802missile.jpg
Hii ni anti-ship cruise missiles ya kawaida

Huyu anayeitwa mlevi sasa anataka kusababisha VITA nyengine ya Dunia!
 
Wenzake (US) ndiyo wanaomfanyia uhuni.


Mkiambiwa kuna harufu ya kuibuka vita ya tatu ya dunia kuanzia hapo hapo Syria baadhi ya raia wanabisha.

No strong evidence to prove kama Assad anatumia Chemical weapons, ndio maana Obama kaona ni bora wamalize kwenye meza ya mazungumzo kuliko na yeye kupeleka jeshi!....ni vema vita isitokee kwani athari zake kiuchumi ni kubwa hasa katika nchi zetu hizi ambazo mafuta ya kipanda tu kila kitu kinakua juu!
 
Hilo Kombola lina uwezo wa Kuzamisha manowari za kivita za USA, hap Mrekani hatatia mguu make Syria inaku kama Nchin Tatu kuuziwa hilo Kombola ya kwanza ikiwa ni China, na Irani,

Na hakuna Nchi Nyingine yenye Kombola la kuweza Kuzamisha maowari zakivita za USA na wapambe wake zaidi ya hilo la URUSI
 

[TD="class: text12"]We are seeing prophecy coming true right before our eyes. Gog and his hoards (Russia) is being set up for destruction per the book of Ezekiel, Chapters 38 and 39. God Himself will bring them down to Israel in order to decimate their armies. Perisa (Iran) will be with them and her armies will also be destroyed. As for Damascus, read Isaiah (17:1) "behold the burden of Damascus, it shall be a ruinous heap." Get ready Israel. The time is short

[TD="width: 10, align: left"]
[/TD]
[TD="width: 13"] [/TD]
[/TD]
 
Baada ya kuona game ya north korea imechomoka russia wanataka test uwezo wa missile shields pale syria tena.
 
Je, waasi wanapata wapi legitimacy?

wanapata legitimacy kutoka kwa umma! kumbuka hata nyerere na watu wake walikuwa ni waasi wa serikali ya uingereza nchini tanganyika; Afro-Americans nao walikuwa ni waasi kwa serikali ya marekani; askari wa Uganda waliojiunga na tz kumpindua Amini nao ni waasi!

hivyo mdogo wangu ZeMarcopolo sio kila waasi ni illegitimates na sio kila serikali ni legitimate.
 
Last edited by a moderator:
wanapata legitimacy kutoka kwa umma! kumbuka hata nyerere na watu wake walikuwa ni waasi wa serikali ya uingereza nchini tanganyika; Afro-Americans nao walikuwa ni waasi kwa serikali ya marekani; askari wa Uganda waliojiunga na tz kumpindua Amini nao ni waasi!

hivyo mdogo wangu ZeMarcopolo sio kila waasi ni illegitimates na sio kila serikali ni legitimate.

Lini Nyerere alikuwa muasi? Alifanya jambo gani la kiasi?

Lini African Americans walikuwa waasi? walifanya nini cha kiasi?

Labda unahitaji kuangalia tena maana ya neni UASI.
 
Back
Top Bottom