Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,894
- 2,228
sasa mbona wale jamaa wanavokataga vichwa vya watu wanatumiaga neno Allah akbar?Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogo
propaganda za west ndiyo zinauchafua uislam kwa interest zao mkuu amka usipende kila kitu ushikwe maskio na wamagharibi
Hata bwana tito anafanya ushetani wake huku akiwa na baibo mkononi lakini haitoshi kusema wakristo wote ni mashetani kwasabab tu umemwona shetani mmoja anafanya ushetani wake akiwa na baibo mkononi.sasa mbona wale jamaa wanavokataga vichwa vya watu wanatumiaga neno Allah akbar?
kulikuwa kuna mambo yanayoendelea nyuma ya pazia.Alivyoichakaza ISIS siyo kuhangaika na maisha ya watu??
Nimeipenda ingawa siielewielewi hiviRussia ndo iko
Karibu zaidi na nchi za kiislam, tussia ina waislam wengi ambao ni raia wake, mfano jimbo la chechinia lote ni la kiislam...russia huwa makini sana kwenye usalama wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo
Russia bahati mbaya ama nzuri hana interest za kutafuta umaarufu kupitia ugaidi kwahiyo huwa anadeli nao kimya kimya jambo ambao hata magaidi wenyewe huogopa..mfano kuna wakati balozi wao alitekwa lebanoni na jamaa wakadai hela kama fidia kutoka russia na russia wakakataa huku wakisisitiza wanataka mtu wao arudishwe tena haraka...magaidi nao wakagoma, kilichofuata ni warrusia walitafuta bdugu wa karibu wa magaidi halafu wakaanza kukata viungo huku wakiwatumia, magaidia kuona hivyo wakasanda wenyewe, ikaja suala la jimbo la chechinia ambao linatawaliwa na waislam kabla ya putin walikuwa wanaleta vurugu ili wajitenge walichofanywa mpaka leo hawataki kusikia wala kurudia...uje eneo la vita la siria kuna wakati walimzingira komandoo wa kirusi, jamaa kuona hivyo akaita ndege imlipue yeye na magaidi...mpaka leo hawana hamu na warusi, bado lile tukio la kuwakomboa matwka waliotekwa kwenye ukumbi wa disco jamaa walivyofanya, jamaa wako serious sana wakishikwa sharubu na magaidi ndo maana magaidi wanaogipoa sana
Tupe habari zaid mkuuHawawezi kusahau walichofanyiwa kule Chechnya.
Hujaeleweka kua hiyo ilikua rumor au nnHii mada n miongon mwa mada znazonipa mashaka juu ya uelewa wa baadhi ya jf members ima malengo yao.
Tafuta nchi ya ulaya yenye waislam wengi ukilinganisha na Urusi sanjar na uungwaj mkono wa Vladmir Vladmirovich Putin miongon mwa jamii ya kiislam Chechnia then linganisha na wale wababe wa dunia ambao kila kona yenye mgogoro wapo.
Maadui wanaundwaView attachment 776428
Atleast mkuu unadata za kuelezea siyo wengine wanapwayuka tu hawana loloteRussia ndo iko
Karibu zaidi na nchi za kiislam, tussia ina waislam wengi ambao ni raia wake, mfano jimbo la chechinia lote ni la kiislam...russia huwa makini sana kwenye usalama wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo
Russia bahati mbaya ama nzuri hana interest za kutafuta umaarufu kupitia ugaidi kwahiyo huwa anadeli nao kimya kimya jambo ambao hata magaidi wenyewe huogopa..mfano kuna wakati balozi wao alitekwa lebanoni na jamaa wakadai hela kama fidia kutoka russia na russia wakakataa huku wakisisitiza wanataka mtu wao arudishwe tena haraka...magaidi nao wakagoma, kilichofuata ni warrusia walitafuta bdugu wa karibu wa magaidi halafu wakaanza kukata viungo huku wakiwatumia, magaidia kuona hivyo wakasanda wenyewe, ikaja suala la jimbo la chechinia ambao linatawaliwa na waislam kabla ya putin walikuwa wanaleta vurugu ili wajitenge walichofanywa mpaka leo hawataki kusikia wala kurudia...uje eneo la vita la siria kuna wakati walimzingira komandoo wa kirusi, jamaa kuona hivyo akaita ndege imlipue yeye na magaidi...mpaka leo hawana hamu na warusi, bado lile tukio la kuwakomboa matwka waliotekwa kwenye ukumbi wa disco jamaa walivyofanya, jamaa wako serious sana wakishikwa sharubu na magaidi ndo maana magaidi wanaogipoa sana
Walipewa kipigo cha mbwa koko...Tupe habari zaid mkuu
Kwahyo hakuna magaid wnye misimamo ya kidini mkuu?Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogo
propaganda za west ndiyo zinauchafua uislam kwa interest zao mkuu amka usipende kila kitu ushikwe maskio na wamagharibi
Mi nimeiona iyo post we unaweza tuambia kama ime editiwa au n kwel ashawahi semaAcha upotoshaji putin alisema
"Did Putin ever said "I swear if they bomb Russia, I'll kill every terrorist within 30 minutes " or it was just a rumor which was spread around?
Yaaan we jamaa umenichosha....sina hamuu kabisaMkuu sijawah sema ivo
Arab pantherPuttin anajitambua bwana....sio kama akina dada Trump na washirika wake
Ume-highlight sana story inaonyesha tamu sana natamani kuifaham kwa undani.Russia ndo iko
Karibu zaidi na nchi za kiislam, tussia ina waislam wengi ambao ni raia wake, mfano jimbo la chechinia lote ni la kiislam...russia huwa makini sana kwenye usalama wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo
Russia bahati mbaya ama nzuri hana interest za kutafuta umaarufu kupitia ugaidi kwahiyo huwa anadeli nao kimya kimya jambo ambao hata magaidi wenyewe huogopa..mfano kuna wakati balozi wao alitekwa lebanoni na jamaa wakadai hela kama fidia kutoka russia na russia wakakataa huku wakisisitiza wanataka mtu wao arudishwe tena haraka...magaidi nao wakagoma, kilichofuata ni warrusia walitafuta bdugu wa karibu wa magaidi halafu wakaanza kukata viungo huku wakiwatumia, magaidia kuona hivyo wakasanda wenyewe, ikaja suala la jimbo la chechinia ambao linatawaliwa na waislam kabla ya putin walikuwa wanaleta vurugu ili wajitenge walichofanywa mpaka leo hawataki kusikia wala kurudia...uje eneo la vita la siria kuna wakati walimzingira komandoo wa kirusi, jamaa kuona hivyo akaita ndege imlipue yeye na magaidi...mpaka leo hawana hamu na warusi, bado lile tukio la kuwakomboa matwka waliotekwa kwenye ukumbi wa disco jamaa walivyofanya, jamaa wako serious sana wakishikwa sharubu na magaidi ndo maana magaidi wanaogipoa sana
Mkuu huyu jamaa Comrade MALCOM LUMUMBA namuogopa mno kwa yale Madini yake.Kuna mtu namkubali kwenye Russia Politics huyu anaweza kuja wajibia vizuri "KWANINI RUSSIA ANAOGOPWA NA MAGAIDI" nae ni Malcom Lumumba akichagizwa na chige
Malcom Lumumba ni Gift kubwa upande wa International matters!..Mkuu huyu jamaa Comrade MALCOM LUMUMBA namuogopa mno kwa yale Madini yake.
Kama hujakosea vile....Malcom Lumumba ni Gift kubwa upande wa International matters!..
Wanaokamatwa kwenye tuhuma zote za kigaidi duniani wanadai wanamtumikia "Allah", sasa wengine tunabaki kushangaa huyo Allah wao yeye hana uwezo wa ki-mungu "Divine Power" hadi apiganiwe na magaidi.........??????????? It's very disturbing.Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogo