jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Alivyoichakaza ISIS siyo kuhangaika na maisha ya watu??Russia ahangaiki na maisha ya mtu zaidi yake
ISIS si mkono wa US,nae analinda maslah yake syriaAlivyoichakaza ISIS siyo kuhangaika na maisha ya watu??
Conspiracy theories!ISIS si mkono wa US,nae analinda maslah yake syria
Ivi we unajielewa kweli weweImekula kwenu Pro West...! Mnatafuta namna ya kufitinisha Russia na jamii ya waislamu, hamtaweza. Mkuu wa Chechnia anataka Putin aongezewe muda baada ya awamu hii.
Tupe mchanganuo wa hoja zako!Hivi 'we' unajielewa kweli 'wewe'
Hii mada n miongon mwa mada znazonipa mashaka juu ya uelewa wa baadhi ya jf members ima malengo yao.Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.
Je kuna nini hapa?
Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha
Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.
Je kuna nini hapa?
Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha
Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
Huyo Mkuu wait Chechnia alimuweka nani kama si kibaraka wa Putin?Imekula kwenu Pro West...! Mnatafuta namna ya kufitinisha Russia na jamii ya waislamu, hamtaweza. Mkuu wa Chechnia anataka Putin aongezewe muda baada ya awamu hii.
Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogoHivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.
Je kuna nini hapa?
Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha
Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
Acha upotoshaji putin alisemaHivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.
Je kuna nini hapa?
Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha
Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
Kwenye Victory Day (May 9, 2018) na Immortal Regiment March, magaidi kadhaa kwenye 'cells' zao wali kuwa 'neutralize'. Team yao ya Usalama, Russia, haina masihara hata kidogo.wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo