Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 847
Is that so boss???? Hahaha....me nacheki hii movie tuu
mwaka 2011 tulibishana sana humu,watu wakawa wanadai assad amekwisha ,hana mda atapigwa chini,tukawambia syria ya assad ni muhimu sana kwa russia,na hatakubali assad aangushwe,leo mwaka wa 5 mambo ndio yanaanza kuwa mambo,,,,,,,
Mtasubiri sana Russia kuwa mbabe kwa USA
Kwa hali ilivyo sasa Urusi hawezi kuwa mbabe kwa mmarekani. Lakini pia mmarekani hawezi kumgusa mrusi moja kwa unless its the last option kwa sababu urusi ndo nchi pekee yenye uwezo wa kuifanya marekani yote kuwa majivu
Wamarekani wanataka Assad aondoke kwa sababu anatia mguu kati kupitishwa kwa bomba la gesi toka qatar na nchi nyingine za iliyokuwa urusi ya kisovieti (kama sijakosea) lengo ikiwa ni kuuwa monopoly ya urusi(Gazprom) kwenye gesi soko la ulaya na hivyo kuisambaratisha urusi kiuchumi. Jambo hili huyu nguli Vlad Putin hakubaliani nalo hata kidogo… ngoja wakubwa wapimane ubavu kidogo tuone inakuaje
mwaka 2011 tulibishana sana humu,watu wakawa wanadai assad amekwisha ,hana mda atapigwa chini,tukawambia syria ya assad ni muhimu sana kwa russia,na hatakubali assad aangushwe,leo mwaka wa 5 mambo ndio yanaanza kuwa mambo,,,,,,,
syria ipo na itakuwepo,hii si vita ya kwanza syria,uwepo wa syria hautegemei uwepo wa asad
Hivi Kuna ushahidi unaojitosheleza ambao unathibitisha serikali ya Assad kutumia ile sumu ya chlorine? Kwa aliyetumia hiyo sumu hakika kafanya unyama usiostahili kuvumiliwa machoni kwa wapenda amani na haki kwa hii dunia.
bbc na aljazeera walitangaza witness walizungumza pia....helcopta ya serikali ilipita baada ya muda flani watu walikufa bila kuwa na majeraha yyte ya mabomu....thats means ile helcopta ilimwaga chlorine na wataalam walithibitisha ilo

BBC na Aljazeera haviwezi kuwa sahihi vipo bias,kwa masilahi na U.S.A,EUROPE NA BAADHI YA NCHI ZA KIARABU
Hii kitu nzito sana