Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,783
- Thread starter
- #41
Mkuu kuna kitu hapa hujakitambua ambacho ni main Issue!Mkuu Mpaka sasa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa B-2 iliangushwa, Ushahidi walionao ni wa F-117 tu.
Wao wenyewe hawana uhakika kama waliangusha B-2.
Angalia Hapa:https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=3Qi1z4vh79A
Na Hapa:https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=XmqLyn4Q15U
Issue hapa siyo F-117A au B-2! .... Issue hapa ni STEALTH FIGHTER PLANE kutunguliwa na inferior weapons! whether ni F-117 au B2 siyo issue!.
The main argument ni kuwa as long as Stealth Plane ambayo haionekani kwenye rada na ambayo inatumia very advance technology & inaruka juu sana na ni vigumu kuiona kwa macho je wale wanamgambo wa Serbia waliionaje kwenye Rada? na walifanikiwa kuitungua kwa kutumia outdated Technology! (mind you ... hawakuwa latest tech za wakati huo kutoka Russia!
Sasa ina maana kama waliweza kuiona, ku-intercept communication na kuiproject na hatimae kuitungua Stealth Plane maana yake ni kuwa hata ndege mtakayoitengeneza leo ya latest tech & stealth pia bado wanaweza kuitungua tena! mfano kama hii ya sasa Marekani wanayotamba nayo sana ambayo ime-prove failure yaani The F-35 Lightning II ambayo wenyewe wanajisifia kuwa is the worlds most advanced multi-role fighter providing unmatched capabilities to military forces around the world) nayo wanaweza kuiona na kuiangusha pia na hao hao Waserbia wa miaka hiyo!
Pia kumbuka kuwa hizi ndege zinasifiwa bure hazijapata mshikemshike wa maana - hazijaingia katika vita na nchi ambazo zina Air Defense ya maana ukaona ukweli wao! - sasa eti ndege imepigana Afghanistani, Iraq & Libya! ambako hakukuwa na Air Defense alafu unasema ni best plane?! eti ni stealth!
Yaani unawashambulia watu wanapanda punda alafu unasema eti haijaangushwa?! kwa hiyo ni best! (sifa za kijinga hizo) ili tuprove kuwa ni best basi ziingie katika vita na nchi zenye advanced tech ya air defense alafu tuone ambazo zina advanced rada, jamming EMP alafu ndo tuone! - vinginevyo zitabakia stories tu)
Na sifa za kijinga ndo zitawacost nchi za West kama tulivyoona the case ya Serbia)
Wewe jiulize kitu, kama ndege zao ni best tech kwa nini wanalalamika na kupiga kelele Russia aliposema atampa Iran silaha za kujihami dhidi ya anga (s300).
Kama wana best plane wangenyamaza tu alafu waishambulie alafu waone! - hii ni kwa sababu wanajua kuwa once s300 ikishatua Iran game over!
Jiulize kwa nini China na ujanja wake wote wa kufika mpaka kwenye Space (mwezini), kuunda submarines, airplanes na nyingine ni stealth!, alot of missiles nk - kwa nini bado anambembeleza Russia amuuzie Air Defense ya s400?! pia anamuomba Russia amuuzie walau ndege zake? - au unafikiri China ni mjinga?
Suala hapa ni kuwa Russia ana best technology ambazo mataifa ya West hawana!.Russia is in the process of selling cutting-edge S-400 anti-aircraft missile systems to China, which would hand Beijing a defense system capable of deterring even the most advanced air powers from infringing on Chinese airspace, the Vedomosti newspaper reported Wednesday.
Na Russia yeye alisema Air defense systems zake zinaona mpaka hata Stealth Tech planes!
Unafikiri China ni mjinga anapomuomba Russia amuuzie Air Defense Systems (s400) pamoja na ndege za Su-35 Multirole planes! .. hii ni kwa sababu China anajua kuwa once you have that system you are safe as zinatungua mpaka missiles na hazijawahi kushindwa & No Western Nation will dare to attack you!
cc: Renegade Bukyanagandi