Rushwa ya ngono

si sahihi njia anayoitumia huyo askari polisi
Si sahihi hata kidogo. Ni kweli askari anaweza kuwa kampenda huyo mdada ila katika mazingira haya ni moja kwa moja itaonekana ana andaa mazingira ya rushwa ya ngono.
Pili huyu askari ana changaya kazi na mapenzi hii inamuondolea sifa ya kuwa mpelelezi mzuri. Kwa sababu he is mixing business with pleasure which he is likely to end up nowhere.
Ushauri: Mwambie dadako amuombe OC CID ampangie mpelelezi mwingine ni haki yake. Akiulizwa sababu natumaini ataeleza vizuri.
 
Huyo dadako anawenge sasa siakatae tu kuna ulazima gani wakukuambia mambo ya aibu kama haya.
 
amkubalie tu, ila aandae takukuru amfanyie kama yule mwalimu wa NIT!! ANA GUTS!! Ili huyo aksari kicheche ajifunze.
 
Mtu kumtongoza mtu siyo kosa, kosa linakuja pale atakapokuahidi kulishughulikia swala lako fulani iwapo utamkubalia au akafanya swala lako liwe gumu baada ya wewe kumkatalia.
Kwakua jamaa bado hajasema kama kukubaliwa kutamrahisishia dada yetu juu ya kesi yake bado hapo hakuna kosa, endapo atamkataa halafu ataona kesi inaenda mwendo wa kobe hapo sasa kutakua na makosa.

Lakini ningekua wewe ningeenda na dada mpaka ofisi za TAKUKURU na kuangalia kama kuna uwezekano wa kulizuia hilo jambo mapema na dada akapatiwa mpelelezi mwingine.
 
ndio rushwa yenyewe hiyo sasa kwani alimjulia wapi kama sio kwenye hiyo kesi na jinsi ninavyojua ukiona dada kakuambia fulani kanitongoza ujue kabisa ameliwa au yupo mbioni kumkubalia aliwe...
 
Ungesema tu ni girlfriend wako, ungesaidika zaidi. Tujifunze kufanya utatuzi wa matatizo yakiwa kwenye mazingira ya uhalisia wake. Ugepata ushauri zaidi....

Dada yako anakuja kukwambia katongozwa?
 

Mengine hachana nayo...alafu huyo ni mke wa mtu au ni mwanafunzi.....yaani dada yako anatongozwa anakuja kuambia ww?
 
Mpka ameniambia manake hayuko tayar.sikukipenda hki kitendo so km ningkua na uelewa juu ya mambo ya rushwa ya ngono ningjua chakufanya nakerwa sn na utendaji kazi na namna hii wa kumnyanyasa mtu kisa una nafas ya kumsaidia.
Wewe takukukuru???
 
Kwakuwa huyo ni mwanafunzi pili ni mke wa mtu ni bora tu angeachana na hiyo kesi..madhara anayoweza kuyapata ni makubwa zaidi kuliko hiyo thamani ya hiyo laptop mwambie afocus mambo yake ya chuo polisi wengi vichwa maji hawana utu kabisaa watamuharibia maisha yake bure badala ya kumsaidia.
 
mdogo wako mshamba!mwanamke kutmgozwa kawaida
 
Tengeneza mazingira,
yamkute kama ya yule mhadhiri msaidizi.
 
Jamaa bana, roho inakuuma kweli dada yako kutongozwa, unataka umle wewe?mwambie dada yako amwambie ukweli kwa anavyoona kama wakiingia katika ishu hizi za mapenzi aidha kwa kumkubalia au kumkatalia itaathiri mwenendo wa kesi na haki, angoje kwanza kesi ikiisha wayaongee hayo ya mapenzi, akikataa ama kuonyesha kuwa kesi itaathiriwa na penzi la polisi ni vizuri zaidi kuwahi Takukuru
 
Fanya maombi mkuu...
Huyo ni pepo anataka kuharibu maisha ya mdogo wako.
 
Umeibiwa haalfu uende Polisi eti wakusaidie, bila kuwapa pesa sasahu kabis ahio kitu. Jamaa alikosea namba akatuma pesa kwa namba ambayo siyo kiasi cha laki nne, akaripoti kooote akaishia kuripoti Polisi, Polisi hao ho wakawa wanataka jamaa awatumie pesa ya vocha, nikamwambia acha ujinga unapoteza muda na pesa yako zaidi
 
Usiwashangae hao ndi
Washirikishe TAKUKURU mkuu watakomesha tabia hiyo mbaya sana. Na watu wanaoandika Mambo ya upuuzi humu nawashangaa sana

Usishangae hao ndio wanaongoza kwa kuomba rushwa ya ngono Sasa hawataki kusikia wanasemwa
 
Kwani ina speed O meter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…