Nadhani ni ile shule inayo milikiwa na KKKT iliyopo juu ya soko la zamani la KIKATITI au co mkuu?
Afu acha woga au hujui MFICHA UCHI HAZAI mkuu? Kiweke wazi kinyamkera hicho kinacho chafua shule iyo pamoja na kanisa kwa kuenezu huo UFUSKA.
Pliiiz mkuu ucpalilie nidhamu ya woga, mweke wazi wanaharakati na watetezi wa utu tupo tayari kwa ajili ya UKOMBOZI WA KWELI.
DAMU ya mtanzania halisi iletayo MATUMAINI na FARAJA palipo na MAJONZI na KILIO.