Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Nadhani hunielewi ninachozungumza. una sababu gani ya kugawa ngono wakati una uhakika ulifanya vizuri?ukute na majaji nao ni manyang'au, huyo mhusika si itambidi agawe ngono kwa wengi ili anusurike?
Hata ukitajiwa utaijua? Huwa tunasema mahakama zetu hazitendi haki, lakini hii si mara zote. Tumeshuhudia baadhi ya kesi haki ikitendeka. Hivyo basi, hata hizo Appeals Boards zipo zinazoweza kutenda haki. By the way, kama mhadhiri anakutaka, vipi iwe vigumu kuthibitisha? Kwani hakuna mitego inayoweza kuwekwa kunasa watu kama hawa? Hakuna linaloshindikana kama ukidhamiria!Je kuna kesi yoyote ya mwanafunzi kuombwa uroda ambayo iliwahi kufikishwa katika appeal board na haki ikatendeka? Ikizingatiwa mazingira ya kuombana rushwa ya ngono na ugumu wa ushahidi endapo mlalamikaji atalazimika kumshitaki mhadhiri?
Utafanyaje basi kama unajua umeandika mtihani vizuri na mwalimu anayekutaka akakupa sup?
Hata ukitajiwa utaijua? Huwa tunasema mahakama zetu hazitendi haki, lakini hii si mara zote. Tumeshuhudia baadhi ya kesi haki ikitendeka. Hivyo basi, hata hizo Appeals Boards zipo zinazoweza kutenda haki. By the way, kama mhadhiri anakutaka, vipi iwe vigumu kuthibitisha? Kwani hakuna mitego inayoweza kuwekwa kunasa watu kama hawa? Hakuna linaloshindikana kama ukidhamiria!
una appeal. hukufahamu hilo?. sasa kama wewe ni mwanaume na mwalimu wa kume kakufelisha nae utampa nini?
Nadhani hunielewi ninachozungumza. una sababu gani ya kugawa ngono wakati una uhakika ulifanya vizuri?
mtu anapo-appeal maana yake anaomba mtihani wake usahihishwe tena, na third marker. kwa maana hiyo, huyo mwalimu huwa hahusiki kabisa kwenye kusahihisha huo mtihani, na mbaya zaidi huwa haambiwi ni mwanafunzi gani ka-appeal, na unapelekwa kwa marker gani. sasa mwanafunzi kama aliandika vizuri huyu 3rd marker atamtoa bila mwl husika kujuaNakuelewa vema FP kwamba huhitaji kugawa ngono wakati una hakika umefanya vizuri. Naomba sasa na mimi unielewe. Swali langu ni kwamba pamoja na uhakika huo wa kuwa umefanya vizuri, ukakuta umefeli, na somo husika ni la mwalimu anayekumendea; je appeal board zinatenda haki?
..mtu ana sup 3..anaenda kujilegezalegeza ili apewe maswali.. What d u expect?
Mabint someni..
sitaki kuamini kama kweli ukikomaa na kusoma vizuri unaweza kukamatwa kisa tu umemkataa mwl. atakukamata kweli kama umemkataa na somo lake hujafanya vizuri..mtu ana sup 3..anaenda kujilegezalegeza ili apewe maswali.. What d u expect?
Mabint someni..
mtu anapo-appeal maana yake anaomba mtihani wake usahihishwe tena, na third marker. kwa maana hiyo, huyo mwalimu huwa hahusiki kabisa kwenye kusahihisha huo mtihani, na mbaya zaidi huwa haambiwi ni mwanafunzi gani ka-appeal, na unapelekwa kwa marker gani. sasa mwanafunzi kama aliandika vizuri huyu 3rd marker atamtoa bila mwl husika kujua
unalipia helaNisaidie tena, kuappeal ni bure ama unalipia?
Duh! college gani huko watu wachukue tahadhari?
Naombeni msaada wana JF. Ni sababu zipi hupelekea mwalimu kuomba au kupewa rushwa ya ngono?
Kumbe game huwa analianzisha mwanafunzi mwenyewe!!!???
sitaki kuamini kama kweli ukikomaa na kusoma vizuri unaweza kukamatwa kisa tu umemkataa mwl. atakukamata kweli kama umemkataa na somo lake hujafanya vizuri
Kwani ni sababu gani humfanya Mwalimu amtongoze mtu?????
Mbona hiyo tabia iko karibu vyuo vyote vya bongo... yeyote aliyepitia vyuo vya juu anajua huo mchezo wa walimu tena usiombe mwalimu ampende girlfriend wako utapata september confrence hadi ushangae...
Utafanyaje basi kama unajua umeandika mtihani vizuri na mwalimu anayekutaka akakupa sup?