Rushwa ya ngono bila kujali madhara yake

Rushwa ya ngono bila kujali madhara yake

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,743
Habari wadau wa G.T/JF.co.tz.org,

Nimekuwa nikifirikiria sana juu ya hawa watu waliopewa dhamana ya kuwapa watu ajira, unakuta dada wa watu amesoma vizuri na sifa zote anazo lakini akifika kwa H.R, ili apewe kazi anaombwa rushwa ya ngono kwanza au ili apandishwe cheo analazimishwa kufanya kwanza.

Sasa mimi hoja yangu ipo kwenye madhara ya kiafya, mtu unayekutana naye hamfahamiani kabisa na historia yake hauifahamu hivi huwa hawafikirii kuwa kuna magojwa hatarushi hasa UKIMWI na mengineyo.

Zaidi tena kwa wakina dada unapompa penzi la bure halafu asikupe kazi hapo inakuwaje na je akikuajiri halafu ukafahamu kuwa ndio mchezo wake hapo ofisini kwake na kwa wengine na mpo wengi hapo ofisini je uhusiano wenu utauvunja au utakuwa na wivu.

Kama yupo mtu aliyepitia hayo anaweza kutuambia kwa kirefu.
 
Unaonekana umeyapitia hayo lakini umetupa kwa kifupi tu!!
 
  • Thanks
Reactions: lup
mi ni mwanaume na nimejiajiri...cjawahi tembea kuomba kazi
 
na huyo atoae penzi ili apate kazi hatakua ameyataka mwenyewe anywei napita tuu
 
  • Thanks
Reactions: lup
mi ni mwanaume na nimejiajiri...cjawahi tembea kuomba kazi
Ok!
Umefanya vyema kuweka status yako hivyo una haki kuomba muhanga yeyote kutupa uhalisia.
Wewe ni muungwana
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom