Ipo hiyo haipingiki mkuuHabari za saiz wadau,
Ivi ni kweli swala la rushwa lipo wakati wa usaili wa kupata kazi? Yaani kwa mwajiri kwenda kwa mwajiriwa au kutoka kwa mwajiriwa kwenda kwa mwajiri? Mfano wa rushwa izo ni ngono na pesa ili mtu apate kuajiriwa, hii kitu bado ipo kweli wanaJF?
Karibu tujadili.
Toa papa hiloInasikitisha sana asee
Inasikitisha zaidi utoe rushwa na usipate nafasi.Inasikitisha sana asee
Hata kupeana nafasi kwa kujuana nayo ni rushwa, kupeana nafasi kwa kujuana nako hakupo ni myths?Hakuna Rushwa ni Myths tuu
Hahaha...wewe mzee .hakuna rushwa?Hakuna Rushwa ni Myths tuu
Amini amini nawaambiaHahaha...wewe mzee .hakuna rushwa?
Tangu upate kazi tiaraei umekuwa na nyodo kama mwanamke mwenye mimbaHakuna Rushwa ni Myths tuu
Iyo kitu haitaisha hadi yesu arudi duniani..Habari za saiz wadau,
Ivi ni kweli swala la rushwa lipo wakati wa usaili wa kupata kazi? Yaani kwa mwajiri kwenda kwa mwajiriwa au kutoka kwa mwajiriwa kwenda kwa mwajiri? Mfano wa rushwa izo ni ngono na pesa ili mtu apate kuajiriwa, hii kitu bado ipo kweli wanaJF?
Karibu tujadili.
Hiyo ni gombania goli mkuu... Jiandae vzurDah!! Nipo najiandaa kwenda kwenye usaili ila napata mchecheto maana tupo zaidi ya watu 200 afu tunawania nafasi moja, can you imagine!!
Kama mpo 200 basi jua hao washaandaa mtu wao hapo wanakamilisha ratiba tu!Dah!! Nipo najiandaa kwenda kwenye usaili ila napata mchecheto maana tupo zaidi ya watu 200 afu tunawania nafasi moja, can you imagine!!