Rushwa, Kujuana, Ukabila katika Halmashauri ya Moshi

Badilikeni kila siku nyie kubalini makosa mjilekebishe

Huo ni ubaguzi huo. Utaanzia ukabila, utaendelea ukanda, hutoishia hapo utafikahadi kwenye ubaguzi wa rangi, jinsia,

kwa kutaja machache.

Kumbuka: Wachagga ni Watanzania pia, na wanahaki kufanya lolote walitakalo ndani ya nchi yao pasipokuvunja sheria...
 

Dah poleni sana ndugu zangu, wachaga sio binadamu kabisa.
 

Hao wachagga wangekuwa na tabia hizo zote unazosema, ubaguzi, sijui hawana utu wasingeweza kukaa na kila kabila hapa Tz bila mtafaruku wowote.. Hata hapo mtaani kwako madeiwaka wakikosa pesa ya kula wanaenda nyumbani kwa mchagga kuomba hata buku 5 au chakula na wanapewa.. Jiulize kwanini hawaendi kwenye nyumba ya kabila lako?? Mdogo wako akikosa ada kule kijijini na alistahili kusoma mpeleke awe house girl nyumbani kwa mchagga uone kama hataendelezwa kielimu.. Binafsi nina ndugu ambao wamesomesha housegirls na houseboys zao mpaka wakapata vibarua vya kuwaweka mjini..
 
Hahahaaaaa, eti daiwaka apewe buku 5 na mangi umekosea? Hata kama ulitaka kumaanisha chibuku nayo ni pesa nachokijua ni wabinafsi yeye kwanza, ndugu, halafu kabila in short sio watu wa kushirikiano kuhusu kuwasomesha mahousegirl sina uhakika ila sikatai wapo wema ila nazungumzia majority kaa ujiulize tuko makabila mengi y nyinyi tu
 

Mimi nafikiri tuwaache watu wa KASKAZINI ..wajitafutie kama kuku ....kila kitu lawama wao hata Kama siku Hizi wengi hawataki Hizo kazi zenu
 

Usifanye personal attack kisa umeliona jina langu, ningetumia John ungenijuaje? any way, wanaowasema hapa wala si wahaya, hapa watu kutoka kon? zote za Tz wanawasema nyie. Ama nao ni wahaya? yawezekana wahaya wakawa wachoyo sikatai ila kwangu ni afadhari na ndo maana huoni wahaya wanasemwa kwa tabia za kizandiki kama zenu ..nyinyi ni wadini, nyinyi ni wabaguzi, nyinyi ni wezi wakubwa, nyinyi mnanuka damu za watu n.k hizi tabia zinasemwa kwenu na watanzania wenzenu. Mnaweza mkahisi mnachukiwa lakini kumbe ni tabia hizo ndo zinawasumbua na msipojua kwamba ulimwengu umebadirika basi myangoje madhara yake kwasababu mjinga uhisi mda wote anaonewa na kuonewa gere kumbe ndo kuhangamia kwake
 

Usifanye personal attack kisa umeliona jina langu, ningetumia John ungenijuaje? any way, wanaowasema hapa wala si wahaya, hapa watu kutoka kon? zote za Tz wanawasema nyie. Ama nao ni wahaya? yawezekana wahaya wakawa wachoyo sikatai ila kwangu ni afadhari na ndo maana huoni wahaya wanasemwa kwa tabia za kizandiki kama zenu ..nyinyi ni wadini, nyinyi ni wabaguzi, nyinyi ni wezi wakubwa, nyinyi mnanuka damu za watu n.k hizi tabia zinasemwa kwenu na watanzania wenzenu. Mnaweza mkahisi mnachukiwa lakini kumbe ni tabia hizo ndo zinawasumbua na msipojua kwamba ulimwengu umebadirika basi myangoje madhara yake kwasababu mjinga uhisi mda wote anaonewa na kuonewa gere kumbe ndo kuhangamia kwake
 

Hivi kwanini binti zenu wanapenda sana kuolewa uchaggani?? We unakubali kwamba wahaya kazi yao kubwa ni kujiuza huku mijini?? Nasikia kule kwenu Guest House Magodoro hayatolewi nailoni.. Maji mengi pwa pwa pwa
 
This is more than enough. Ukabila unaojitokeza katika thread hii ni aibu kwa Tanzania, utafikiri tuko Burundi au Iraq/Syria? Tujaribu kutofautisha uovu wa mtu binafsi na kabila lake, dini yake au chama chake. Hakuna kundi la mashetani watupu au watakatifu watupu hata huko kwa waliotuletea dini zao.
 

Tatizo la Nchi Hii ni double standard ....kuna mambo Kama haya kwa halmashauri ya moshi ...mnaita ukabila .....pamoja na kuwa kweli pale watumishi wote ukiindoa Hao madereva,wafagiaji ambao hutoka MKOA husika ..waliobaki wanaletwa na Tamisemi.....Bado mtaita ukabila

Uchaguzi iliyopita wako wanasiasa walikuwa wakihutubia kilugha ...hakuna aliyesema ukabila.....nafikiri wengine wangehutubia ungekuwa wimbo...

Kutokana na maneno ya Chuki Kama hayo ....ni vijana wachache Sana wana hayo maeneo unayosema wameajiriwa serikalini ....wengi wameamua kujiajiri kuepukana na nongwa ......ukienda pale Kariakoo na maeneo mengine kuna vijana wengi Sana toka Kilimanjaro ,Mbeya na kwingine wamejiajiri hadi wamehamisha wahindi pale .....Sasa watu Kama Hao utawakomoa kwa kuwanyima kazi zako ?na hata Hao wachache walioajiriwa wengi wana sifa stahiki hadi kupitiliza....
 

Hivi kumbe sumaye na lowassa ni wachaga, sikuwahi kujua aisee
 
Mkitoka hapa mhamie thread za wahaya then wakurya then wasukuma then wajaluo mpk tumalizane kwa staili hii
 
Hayo unayosema ni kweli kabisa hawa watu ni wabaguzi sana,
 

Daah hataree...
 
Hawa watu kwa ukabila ni tataizo. Halafu tukiwaambia juu ya tabia hiyo wanakaa kimyaaa! Baadaye wataibuka na ajenda ya Ndugai, jiwe, Sukuma gang, mataga, nk. hebu jibuni sababu ya kutoacha ukabila ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…