R Ras M New Member Oct 4, 2011 3 0 Oct 18, 2011 #1 Jamani watanzania kama kweli tunataka maendeleo na kufaidi utajiri wa nchi yetu kwa kila mmoja wetu. Tunapaswa kuacha kutoa na kupokea rushwa.
Jamani watanzania kama kweli tunataka maendeleo na kufaidi utajiri wa nchi yetu kwa kila mmoja wetu. Tunapaswa kuacha kutoa na kupokea rushwa.