euston Milton
Member
- Jul 16, 2021
- 14
- 13
Platform broo its why nikaamua kutumia jamii forumTungoje maafa ya mv bukoba mpiya watumishi wa nchi hii akili yao hela tu ndio maana makondo anawaita na kuwaamuru waje wakiwa wanakimbia,sasa wewe Kamugisha ulipo ona hiyo rushwa inayo weza hatarisha maisha ya wakani mtakiawa kwanini ukipiga picha na kumtumia Makonda?
Zote za MV MWANZO, MV DOUBLE M, MV YOTE SAWA,boti inaitwaje
Amani ipo right nowI remember those days nilienda kisiwa fulani ziwa victoria nimesahau jina lake
Tulikuwa watu kibao ndani ya kile kidude kimetengenezwa kienyeji .
Tulifika usiku wa saa moja , kule ni dunia nyingine kila mtu anaishi atakavyo , wahalifu wakubwa wamejificha kule .
Zaidi nilifurahia supu ya samaki ila kule roho mkononi yaani ishi vizuri na watu usiwe mbabaifu watakupoteza
Ni akheri kwa hivyo sasa.Amani ipo right now