Msauzijoseph
Member
- Feb 2, 2022
- 40
- 25
Hivi mfano umefanya kosa, umekamatwa.Rushwa ni adui wa haki!
MmmmhHivi mfano umefanya kosa, umekamatwa.
Na kosa hilo unajua kabisa fika ukienda mbele huchomoki utachezea mvua.
Aliyekukamata anakuambia umtoe yaishe.
Wewe utatoa au ?
Au ndo tuache ikae hivyo hivyo???[emoji23][emoji23][emoji23]WanaJF mimi nataka nijue hivi rushwa huwa ina faida gani? Katika tathmini kubwa ya maisha imekuwa kila mahali? na je pale Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa inapomkuta mtoa hongo na mpokea hongo wote huchukuliwa hatua gani na kama adhabu zitaenda kwa haki?
Siku moja nilikuwa nina mazungumzo na mdada mmoja alikuwa anatafuta kazi,akaitwa afanye interview,baada ya hapo alifaulu kwa alama nzuri lakini baada ya interview.
Yule mwajiri akamuomba tunda(atoke nae kingono) lakini lile suala lilimuumiza yule dada, sikujuaga kilichoendelea lakini yule dada alipata kazi akaajiliwa kwenye ile kampuni.
Pia hivyo hivyo kuna mwingine alikuwa anaenda kufanya kazi lakini kabla ya kwenda kuanza majukumu ya kazi akakutana na boss kwanza na nilimpeleka mwenyewe mpka lounge na alikuwa amenona.
Sasa kana umeua mtu, utatoaje rushwa utoke?Hivi mfano umefanya kosa, umekamatwa.
Na kosa hilo unajua kabisa fika ukienda mbele huchomoki utachezea mvua.
Aliyekukamata anakuambia umtoe yaishe.
Wewe utatoa au ?
Ova
Ofcourse atatoa / utatoa ila utoaji huo ni faida ya nani, zaidi yako wewe muharifu.Hivi mfano umefanya kosa, umekamatwa.
Na kosa hilo unajua kabisa fika ukienda mbele huchomoki utachezea mvua.
Aliyekukamata anakuambia umtoe yaishe.
Wewe utatoa au ?
Ova
Rushwa ipo na itaendelea kuwepo,Ofcourse atatoa / utatoa ila utoaji huo ni faida ya nani, zaidi yako wewe muharifu....
Sababu kesho yule aliyekwambia utoe ili utoke utafanyiwa kosa au ndugu yako kufanyiwa kosa ila sababu atakuwa na dau kubwa kuliko wewe na yeye ataachiwa...
Kuachiwa kwako wewe muharifu (sio haki), ni kupindisha haki..., na huenda mimi muuaji nitaendelea kufanya uharifu nikijua kwamba nitatoa pesa na kutoka, vilevile credibility ya justice inakuwa haipo tena...
In short Rushwa haina faida yoyote ile
Hivi yule mmiliki wa kampuni ile ya usafirishaji mizigo alimpiga mfanyakaz wake risasi hadi akapoteza maisha,alichomokaje?Sasa kana umeua mtu, utatoaje rushwa utoke?
Hata Umasikini au Wizi upo, ila haimaanishi kwamba ni mzuri au una faida...Rushwa ipo na itaendelea kuwepo,
Tunaishi nayo
Ova
Sifahamu juu ya tukio hilo, lakini mtoa rushwa na mpokeaji wote wana mikono ya damu.Hivi yule mmiliki wa kampuni ile ya usafirishaji mizigo alimpiga mfanyakaz wake risasi hadi akapoteza maisha,alichomokaje?
Rushwa ipo na itaendelea kuwepo
Sahv yenyewe tuko humu jf kuna watu wanapokea na kutoa rushwa muda huu
Dunia uwanja wa fujo
Ova
Haiwezi isha milele na milele, labda kupungua tu au kuwa siri zaidi. Yesu mwenyewe alisalitiwa kwa sababu ya rushwaaSasa kwa kupitia hizo scenario mbili bado ukajua tu umhimu wake?
Na haitokuja kuisha kirahis maana tumeisha itamadunisha
Hujaingia kwenye 18 wew,Ofcourse atatoa / utatoa ila utoaji huo ni faida ya nani, zaidi yako wewe muharifu....
Sababu kesho yule aliyekwambia utoe ili utoke utafanyiwa kosa au ndugu yako kufanyiwa kosa ila sababu atakuwa na dau kubwa kuliko wewe na yeye ataachiwa...
Kuachiwa kwako wewe muharifu (sio haki), ni kupindisha haki..., na huenda mimi muuaji nitaendelea kufanya uharifu nikijua kwamba nitatoa pesa na kutoka, vilevile credibility ya justice inakuwa haipo tena...
In short Rushwa haina faida yoyote ile
Rushwa (hongo) ni ulafi, na ubinafsi tu, hakuna la zaidi. Ilipo hakuna haki!WanaJF mimi nataka nijue hivi rushwa huwa ina faida gani? Katika tathmini kubwa ya maisha imekuwa kila mahali? na je pale Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa inapomkuta mtoa hongo na mpokea hongo wote huchukuliwa hatua gani na kama adhabu zitaenda kwa haki?