Rupia: Why JK needs to shuffle his Cabinet

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,015
-------------
 
La mgambo likilia ...., mwenye macho haambiwi tazama, Lisemwalo lipo kama halipo....laja. hayo ni baadhi ya misemo naamini Jk anasikia atayafanyia kazi wakati muafaka
 
Jamaa alishasema ya kuwa kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala. Mnataka asemeje tena ili mumuelewe?
 
JK hana ubavu wa kuwatoa mafisadi wenzake kutoka kwenye cabinet.

Kila anachofanya Karamagi, JK anapata 10% au zaidi. Awatoe hao kwani yeye ni mjinga? Bila pesa ya Buzwagi, Richmonduli, BOT, na nyingine nyingi JK atapata wapi pesa ya kufanyia shoping za nguvu kila wakati akija hapa USA?

Kikwete hawezi kuvunja baraza maana atakuwa amesalimu amri kwa wapinzani na JF. Hata hivyo kama akiweza kuvunja baraza na kuwatoa mafisadi huku akipunguza ukubwa wa hilo baraza, basi nitatimiza ahadi yangu ya kumlipa 84 cents!
 

Mwafrika wa Kike,

JK akitaka kuiba kweli atasubiri apate kupitia kwa Karamangi? Nafikiri atachota hazina moja kwa moja au atajiuzia majumba kama Mkapa.
 
Mwafrika wa Kike,

JK akitaka kuiba kweli atasubiri apate kupitia kwa Karamangi? Nafikiri atachota hazina moja kwa moja au atajiuzia majumba kama Mkapa.

Tatizo ni kuwa jamaa ni kilaza, hana uwezo mkubwa wa kufikiria that much! Utaona na kusikia mengi tu toka kwa Vasco Da Gama mwaka huu!

Kwi kwi kwi kwi, Mtanzania naona unamfundisha mzee wetu namna ya kuiba!
 
anasubii wale x mas na mwaka mpya iliafanye hayo mabadiliko

Umenikumbusha, Hosea wa TAKUKURU aliwapa mafisadi-vigogo likizo ya krismasi tangu mwaka jana kabla ya kuwashughulikia. Mpaka leo kimyaaaaa! Likizo bado inaendelea. Hakuna hata kigogo mmoja aliyeibuliwa, sana sana alichofanya ni kuwasafisha tu. reshaffle (kama ipo) impitie na yeye.
 

Inabidi pia afanye reshuffle ya washauri wake, maana wote kazi imewashinda.
 
bwana bubu kama ni reshuffle ajianze yeye kwanza,,ingekuwa nchi za nje ningekuwa mimi ningekuwea nimejiuzulu,,embu angalia unapewa mamlaka ya kuchunguza rushwa then unatoa majibu hakuna rushwa,,baadae kamati ya bunge na bunge la jamhurisi bunge la lowassa wala hosea linatangaza kuna miale ya rushwa,,,haoni hii ni aibu kw amtu mwenye phd ya kupewa kama yeye,,mimi tena kwa kulinda heshima ya PHD siku natunukiwa naamua kujiuzulu maana nitakuwa bogus kama nina fanya mambo naonerkana rubish
bwana hosea ukisoma hili au mkeo au wanao naomba ujishauri kuendelea kuilinda phd,,ona mwenzako DK RASHID,,INGAWA alijirekebisha ila alionyesha umuhimu wa PHD kwa kwastua kidogo]
 
Hizi tetesi za kila siku zisizotimia zimetuchosha.

Sasa hivi tunasubiri hatua na si manenomaneno tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…