startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,751
- 1,948
Nasikia mkulu anazindua hospital tena kijijini kabisa Isange unazungumziaje hilo? Acheni lawama zisizojenga kubwabwaja bungeni siyo kipimo cha maendeleo jimboni kuna wabunge hawakosi kuchangia kule bungeni but still jimboni kwao hoi kimaendeleo.. Go go Atupele 2020 is loading.....! Believe me the guy is very smart na atapita bila kupingwa.Nimefuatilia comments zako zenye mtizamo hasi juu ya wana Rungwe.
Unaweza kuwa pandikizi la kuingiza mfarakano kati yanwana Rungwe, tabia ambayo haikubaiki.
Wewe na yule anayeitwa Polepole mna misimamo fake kupendezesha waliowatuma.
Bottom line mi ni CCM na watu wanafiki na mamluki kama ninyi ni wa kuumbuliwa.
Tatizo letu kimaendeleo na kimkakati Rungwe ni barabara, no less no more.
Mkuu si umesikia?Nasikia mkulu anazindua hospital tena kijijini kabisa Isange unazungumziaje hilo? Acheni lawama zisizojenga kubwabwaja bungeni siyo kipimo cha maendeleo jimboni kuna wabunge hawakosi kuchangia kule bungeni but still jimboni kwao hoi kimaendeleo.. Go go Atupele 2020 is loading.....! Believe me the guy is very smart na atapita bila kupingwa.
"unaweza kuwa pandikizi la kuingiza mfarakano kati ya wana rungwe,tabia ambayo haikubaliki"Nimefuatilia comments zako zenye mtizamo hasi juu ya wana Rungwe.
Unaweza kuwa pandikizi la kuingiza mfarakano kati yanwana Rungwe, tabia ambayo haikubaiki.
Wewe na yule anayeitwa Polepole mna misimamo fake kupendezesha waliowatuma.
Bottom line mi ni CCM na watu wanafiki na mamluki kama ninyi ni wa kuumbuliwa.
Tatizo letu kimaendeleo na kimkakati Rungwe ni barabara, no less no more.
Yani mbunge wa rungwe uku tunamwita ' ghost mp' haonekani bungeni wala jimboni yani poor critical analysis, hana confidence mweee!!! anatudharirisha sana uyu standard seven aliepata madaraka kwa kuvujisha damu za watuMkuu kama wameingia madarakani kwa kubebwa na vyombo vya dola watahoji nini, wao kazi yao ni kuunga mkono itakacho serekali kama sehemu ya kulipa fadhila.
Wandali bwana weusii hadi akiliBinafsi huwa siamini kama kelele za mbunge zinaweza kushawishi miradi ya maendeleo katika jimbo lake.
Labda Waziri anaweza, naye akiwa na ushawishi wizara ya fedha - Idara ya mipango au apate favour ya Rais.
Pumbavu!Wandali bwana weusii hadi akili
Wanyakyusa walididimiza makabila Mengine kwa kuyanyima huduma muhimu, tukumbuke kuwa wakoloni waliweka miundombinu ya shule na hospital sana katika wilaya ya Rungwe. Wanyakyusa malitumia fursa hiyo kama silaha ya kutawala makabila mengine. Wakabila mengine yalishaliona hilo kwasasa watabaki na Rungwe na Kyela yaoukwel upo mana kabila la wandali(wilaya ileje ) wakataa ili rungwe isiwe mkoa mana ndo wilaya ambayo ilitakiwa iamue kuwa nan apewe na iungane nae ndo wakaenda songwe kwa kisingizio wanyakyusa wababe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya inadorora kimaendeleo.
Kwa zaidi ya miaka 35 wilaya hii haina mradi mkubwa wa maendeleo, HATA MMOJA. Wananchi wanaishi kwa kudra tu za Mwenyezi Mungu.
Kibaya zaidi nimetoka huko vijijini kwetu, watu wana hisia mbaya kuwa uongozi uliopo unawachukia. Sababu hazijulikani!
Mbaya zaidi wilaya ina wabunge ambao hawana weledi wala umahiri wa kuongelea matatizo ya wananchi katika hadhiri za kitaifa.
Mbunge wa Rungwe Mashariki(ambaye hata jina silikumbuki) na Mbunge wa Rungwe Magharibi, maarufu kama SH Amon, sijawahi kuwasikia wakipiga makelele yasiyo ya kawaida katika kuomba miradi toka serikalini, iwe viwanda, utalii au barabara.
Hawa wabunge ni mabubu kisiasa.
Mimi wa town kabisa, Bulyaga.
Hata hivyo hio haliondoi ukwei kuwa hawa jamaa zet wabunge ni hasara.
Kumbuka bado mpaka leo katika mikoa ya mbeya na songwe wanyakyusa ndo wanashikilia katika elimu vizazi na vizazi shilingi haiji kupindukaWanyakyusa walididimiza makabila Mengine kwa kuyanyima huduma muhimu, tukumbuke kuwa wakoloni waliweka miundombinu ya shule na hospital sana katika wilaya ya Rungwe. Wanyakyusa malitumia fursa hiyo kama silaha ya kutawala makabila mengine. Wakabila mengine yalishaliona hilo kwasasa watabaki na Rungwe na Kyela yao
Mkuu ongea kiswahili kilicho enda shule.Aaa wacha kujiandisha magotofa wewe wakati unatoka chochi
Ahya bwana nimekubali yaishe wacha ni rekebisheMkuu ongea kiswahili kilicho enda shule.
Mkuu ongea kiswahili kilicho enda shule.
Nazan adhabu aliyoipata nassari inamuhusu uyu bwana anahudhuria bunge lipi mbona haonekani
Mzoefu mzee Mwandosya kaongea makubwa na kwa kujishusha mbele ya Rais, na Magufuli kamsikia, barabara tumepata.Nazan adhabu aliyoipata nassari inamuhusu uyu bwana anahudhuria bunge lipi mbona haonekani