Rumour: Khamenei dead

Rumour: Khamenei dead

Khomeini yule kiongozi wa kidini wa Iran?
 
ALikua mgonjwa,wa tezi dume,huenda ikawa.
 
Naangalia press tv ya Iran kwao but hakuna taarifa hizo.
 
Amekua hospital kwa wiki 2 sasa,ana kansa ambayo kaipata miaka 10 iliyopita na imeenea,it is just a matter of time ,ukichukulia na umri wake
 
khamenei-hospital1.jpg
 
www.ynet news from Israel wameonesha Khamei yupo na leo kaoneka ktk sherehe akiwa mchanhamfu na mwenye afya tele.
www.fars news agency from Iran nao wameonesha kiongozi wao akiwa ktk sherehe.....So hizo rumor umezitoa wapi.....Zaidi ktk fars news na press tv zote za Iran wameonesha kua iran has unveiled a long range cruise missile knows as Somaur na april 18 watazindua another air defence system based on S-200
 
Rumours zilianzia katika magazeti ya israel.
 

Hawa jamaa hawakubali kiongozi wao atibiwe nje. Yale matibabu anayoyapata mtu wa kawaida ndiyo anayoyapata kiongozi. Siyo kwetu mtu akipiga chafya tu tayari yuko London, tena kwa pesa za asiyejiweza! Jamani, kesho kuna hesabu kubwa!
Vizuri sana wengi wnapokwenda huko Ulaya wakiwa mahtuti hawarudi! (Hamjachunguza?)
 
Naangalia press tv ya Iran kwao but hakuna taarifa hizo.
Mkuuu hawa ma Ayatollah hata kama akifariki lazima mambo yapangwe kwanza kabla ya kwenda public. Nakumbuka alipofariki Ayatollah Ruhollah Khamenei mambo hayakuwa haraka kihivyo kwani ilibidi atafutwe mrithi kabla ya tangazo
 
Rumours zilianzia katika magazeti ya israel.
Mkuu Israel ni wabaya,wakikuambia kitu ujue kinakuja. Nakumbuka walisema Rais wa Palestina, Yasser Arafat, atafariki baada ya miaka mitatu na ikawa.
 
Newsline 1

08.03.2015 20:56
Iran’s Ayatollah Ali Khamenei appears in public amid rumors about his health

Iran’s supreme leader Ayatollah Ali Khamenei, 75, has appeared on a state television program aired from his residence in Tehran following rumours of ill health. AP describes the supreme leader’s appearance as “comfortable and healthy in the footage” though foreign news agencies claimed Khamenei was in critical condition in hospital. The supreme leader’s health condition drew significant attention as it may affect the process of talks concerning the Iranian nuclear program. Khamenei has been the top leader of the Islamic Republic since 1989.

Source: RT
 
Back
Top Bottom