Rules for dating my Daughter.

Especially rule no. 9. All take care.
 
Damn!!! Umenivutia kasoro hiyo namba moja tu....
 
Yeah right!!
 
Daah! huyo ndio adui namba moja wa ndoa imara.
Hamna bana, ndoa interest za wanandoa zikiendana ndo huchangia ndoa kuwa imara...mi napata laga mwenzangu asiwe mtumiaji si itakuwa kero kwake? So it depend....hongera.
 
Hamna bana, ndoa interest za wanandoa zikiendana ndo huchangia ndoa kuwa imara...mi napata laga mwenzangu asiwe mtumiaji si itakuwa kero kwake? So it depend....hongera.

Kweli it depends. Maana huku kwa ofisi, washikaji zangu vya pombe kila baa wanademu. Tena akilewa ukimuuliza Buddy umelewa, anakwambia mimi mbona sikuhizi sinywi pombe. Nilisha acha pombe. Hapo yupo tila lila.
 
Kwa hiyo unafikiri kwakuwa unafanya hivyo ndiyo sababu ya wewe kuchagua wa kudate na mwanao? Hiyo ni ndoto mkuu, hata akina marehemu Sepetu walikuwa wanayafanya hayo. Chamsingi tu ni kumuomba Mungu akae upande wako na kuiongoza familia yako vinginevyo siajabu ukawakuta wanatoka na vibaka.
 
No. sina maana hiyo. I WANT RESPONSIBLE HUSBAND!!! FULL STOP. A MAN I CAN PROUDLY CALL MY SON IN LAW. WORTH MY TROUBLES OF RAISING MY DAUGHTERS.

I hope Evelyn Salt, unanielewa.
Mkuu punguza pressure, huyo son in law utaletewa kwa mbwembwe, tena usishangae ukaletewa muuza mkaa au konda, si binti kapenda, Pamoja na madgrii yake. Sasa kataa uone, na ukifanikiwa kweli ntaamini kuwa wewe ni mzimu. Chezea kupenda wewe
 
Haa! haa! Kwahali ilivyo kaka, hivyo ndivyo wafanyavo. Eti wamependa.
 
Cha msingi ni kuwapa watoto misingi imara waweze kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi.

Mkuu Mzimu usipojenga msingi, nyumba haiwezi kusimama kamwe. All the best with ur in laws.
 
Haa! haa! Kwahali ilivyo kaka, hivyo ndivyo wafanyavo. Eti wamependa.
Eti Mzazi a namwambia binti yake ......"unahangaika nini huko kwa wanaume wakati kila kitu kimo ndani...."
kuna ukweli wowote hapo? Njia nzuri ni kumuelimisha binti faida na HASARA za mahusiano ya aina yoyote ili
yeye mwenyewe apime anapokutana na mwanaume janga. Sema kaka, kwa kweli na sisi wanaume kuna wakati tuna kumwaga majanga kwa akina dada si mchezo
 
Mzimu vpi tena.? Yule mwanao wa form 3 kunamnyoa kiduku anamuwinda nini.
 
Huu MZIMU upepatia kuandika thread, umejaribu mara kadhaa, baada ya kuandika thread zenye vishwa bila ya habari, sasa umepatia kuandika thread isiyo na muelewano baina ya kichwa na habari. Nakutakia MZIMU KUIMARIKA ZAIDI.
 
Last edited by a moderator:
Mzimu vpi tena.? Yule mwanao wa form 3 kunamnyoa kiduku anamuwinda nini.

Da we acha tu! Watoto fulu pensi mbele ya wazazi wao. Wanachart whats up fullu day. Sijui itakuaje.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…