La Cosa Mia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 271
- 127
umejitahidi na pro chadema kama kawaida wakakumwagia like ! lakini mwandishi wa thread kasema huyu dada anaitwa Rukia Kilemela sasa aliyekurupuka sijui weye au mleta thread ..
Wewe ndio kiazi kabisa.....yani hata msomage vipi nyie watu mnabaki mambumbumbu.....hebu angalia jina la mwandishi katika makala yake kabla hujatoa mashuzi yako hapa.... kaandika mwenyewe RUKIA KILEMILE angalia hata na email yake kiazi wewe!!!! Halafu toka 2005 anarudia mitihani ndio 2007 kapata credit moja...
Alright tough guy! :A S 39:
It's funny that you and other mugs here making a judgment on other peoples life decisions based on their education levels.. . Considering that she is in the UK and you ended up somewhere in Tanzania and u seem to be very unhappy with your life there.. Your post sure screams deep desperation on your part. Trying to divert attention from the topic at hand by bringing "Education Level " well lets assume that`s her scores do you have any problem with that ..?
Baba unajua niko wapi???? Unajua nafanya nini???Umenifurahisha mkuu....ati namuonea wivu Rukia kwasababu yuko mamtoni sio!!!Kama kiazi wewe umeoza!!!Sibishani na waliopata ZERO
Don't be so silly, ungekuwa humuonei wivu ungeingia nakuanza ku m discuss ... Mate just worry about ur sad life before u stick ur nose to others lives and start judging them .. sawa mi kiazi but u La Cosa Mia your comments
a ) screams how desperate you are ...
b ) you have got no brains " umekurupuka"
so don't make yourself look stupid & stop discussing others education levels kama huna cha kuchangaia walicholeta bora upotezee na kukaa kimya! you will do ur self a big favor trust me!
Alright tough guy! :A S 39:
It's funny that you and other mugs here making a judgment on other peoples life decisions based on their education levels.. . Considering that she is in the UK and you ended up somewhere in Tanzania and u seem to be very unhappy with your life there.. Your post sure screams deep desperation on your part. Trying to divert attention from the topic at hand by bringing "Education Level " well lets assume that`s her scores do you have any problem with that ..?
0040 | F | RUKIA S KILEMILE | 35 | FLD | CIV-F HIS-F GEO-F ELI-F KIS-F ENG-F BIO-F BAS-F |
Iam very troubled with Ritz and the one posted the thread above. Wanataka nini katika maisha ya Watanzania hivi do they enjoy the way the Tanzanians suffer under the leadership of CCM, Do they enjoy the way our resources are being stolen or these people are among those embezzle our funds. I am real troubled.No comment.. Mzee Mwanakijiji jibu barua ingine hiyo mkuu chama mambo yameiva Uingereza, mkuu wangu Mkandara tunaomba mawazo yako.
Ndugu we ndo walewale nini wakupata zero (0) 4m 4! Elimu inahusika sana kwenye uchambuzi wa habari, na hasa huyu ayejiita mchambuzi wa jinsia na uchumi, zero ya form4 inaonyesho IQ yake ilivyokuwa low, sasa yeye kapata 0 halafu anakuja kutuletea uchambuzi. uchambuzi wa habari siyo kipaji, kama wa mcheza mpira cos we cnt judge a competenc of a player by his o her eductn bt just a tarent, sasa huyo kilaza wa 0 akili ya kuchambua mambo kaitoa wapi?
acha ulimbukeni wewe njiwa! kwani kuwa uk ndo kitu gani? tutaamini vipi kama uwepo wake huko haujatokana na ukahaba au ushoga au pengine kuflash vyoo vya wazungu?usitake kumfanya kila mtu amini aliyeko uk basi kwake mambo safi.na kama ndivyo,basi wale vijana wazawa ktk kipindi kisichozidi mwaka mmoja wasingeandamana kwa kupinga utofauti wa kimaisha kiuchumi.sasa huyo ni mwenyeji analia sembuse wewe mtu wa kuja? usitudanganye na kutufanya tuamini kuwa uwepo wake uk basi mambo safi na utambue kuwa hao jamaa ukibahatika kufanya kazi kwao wanakuchulia kuwa ni low class level in terms of wage payments.ana ganga njaa tu.cha msingi hapa inajadiliwa hoja dhaifu ya huyo jamaa na si maisha yake.angalia na wewe unayetetea kwa hoja dhaifu kama hizo usiwe ni mmoja kati ya wahanga wa hali hiyo aliyonayo gamba mwenzako!!!