Andika barua ambatanisha na barua ya udahili uliyopata chuo,pia hakikisha upo kwenye utaratibu wa watumishi wa halmashaur kwenda masomoni kwa mwaka husika
Pia tegemea kukutana na vigingi kwan watakuambia uombe likizo bila malipo maana unachokwenda kusoma siyo masomo ya kufundishia sekondar hapa tz