Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,981
Hivi unajua Mengi kasaidia watu wangapi? Kama pesa anazo unataka asaidie nini sio Kila mtu anahitaji msaada wa ideas.Kuna watu ni watoto yatima wanahitaji msaada wa kusomeshwa mpaka chuo kikuu na Mengi kawasaidia wengi tu,hawa hata ukiwapa idea hautasaidia lolote.Wewe unalinganishwa kwa Utajiri na uwezo ndo maana...!! Mengi alitoa msaada wa pesa zaidi... Ruge alitoa msaada wa Ideas...pesa na kuwezesha vipaji vya wengi ambavyo viliwainuaa mpaka leo wana maisha yao...!! Ruge alitoa watu from zero to heroo... He was someone special... Wewe idiot ukalale tuu
.............Em orodhesha hapa hazi moja kama siyo hadhi kama ulivyojiandikia hapa ambayo wanayo.Actually Muhaya ana azi yake
True 100%Ruge kwa sababu alikuwa kijana na alikuwa mwenyewe anakwenda field. Huyu Mengi alikuwa ameshazeeka na hajatouch mioyo ya vijana wa generation yetu.
'azi' ndio nini mkuu Kunde EkekeActually Muhaya ana azi yake
La hasha....sio ra hasha mkuu MtapendaRuge bwana atabaki kua juu sio kwamba alikua na pesa nyingi ra hasha.. ata top 50 za tz hakuwepo...
Ila alisaidia sanaa ku change mawazo ya vijana wengi haswa tasnia za sanaa mbali mbali na watangazaji... Hivyo maneno yake yanaishi mioyoni mwao...
Mengi naye anamchango mkubwa sanaa na alikua anaweza kujitoa kwa pesa zake kwa walemavu na kuwafanyia sherehe kila mwaka
Mwenye Mungu awaweke mahali wanapo stahili
Nadhani wewe ndo hunielewiii...!! Sema anyway wapumzike kwa amani... wote waliitenda kazi vyemaa...Hivi unajua Mengi kasaidia watu wangapi? Kama pesa anazo unataka asaidie nini sio Kila mtu anahitaji msaada wa ideas.Kuna watu ni watoto yatima wanahitaji msaada wa kusomeshwa mpaka chuo kikuu na Mengi kawasaidia wengi tu,hawa hata ukiwapa idea hautasaidia lolote.
Mengi katoa ajira kwa mamia ya watanzania, hata ideas katoa Sana labda Kama ulikuwa humfatilii.Ruge was good in search but Mengi was the best usichanganywe na porojo za fursa.
Waliukuza Sana Msiba Wa Ruge, Ipp Media Nao Wataukuza Msiba Wa Mmiliki Wake? Muitikio Utakuaje?Ishu ni media
Clouds wanaoverrate vitu sana.yaani kule hata sendoff Tu inaweza kuwa ya kitaifa
Generation yenu ni ipi mpenzi?Ruge kwa sababu alikuwa kijana na alikuwa mwenyewe anakwenda field. Huyu Mengi alikuwa ameshazeeka na hajatouch mioyo ya vijana wa generation yetu.
Wee Machuchu tunakuona [emoji102]Tena aishie hapohapo
Ni hii ya late 80th and early 90'th ambayo ndo ipo kwenye damu kuchangamka kwenye fursa. Kabla hatujafika 32-40Generation yenu ni ipi mpenzi?
MUULIZE WEWE MAANA IPP MEDIA PIA IMECHANGIA SAANA KWENYE KIZAZI HIKIGeneration yenu ni ipi mpenzi?
KanumbaNadhani baada ya mazishi ya Mwalimu Nyerere hajapata kutokea Mtu yeyoye ambae Msiba wake ulikuwa Mkubwa kama Ruge Mutahabaaa.... Ruge was someone special aisee nchi ilitetemekaaa...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
sasa unauliza ndevu pakistani ?Inamana tayari mzee baba kaenda
SIO KIJANA BHANA!!!!!Msiba wa Ruge ulitikisa zaidi kwa kuwa yule alikuwa bado ni kijana sana, wa mzee mengi unaeza usiufikie ule kwa kuwa alikuwa kashakula chumvi nyingi zaidi. Ila kwa suala la mchango kwenye jamii Mengi mchango wake ni mkubwa sana ukilinganisha na Ruge.