kweli mkuu ila walikua na influence kubwa katika jamii sasa nataka kuona muitikio wa jamii kwa huyu mzee maana anajulikana sana na kafanta mengi sana kwa jamii
Mengi ni zaidi ya Ruge kwa kila eneo. Mengi alikuwa Tajiri ziadi, alikuwa anatoa misaada Zaidi, ametoa ajira Zaidi na ameishi miaka mingi na pia alikua anaoa kihalali

ITV,EA RADIO, EATV, RADIO ONE wakiamua kufanya walicho fanya clouds msiba utafunika wa ruge harafu tatizo watangazaj wa kule wengi watu wazima hawan promo kama za clouds