Sauti kwa mbali bado ipo..ajipange anaweza rudi akapata za kubadilishia kofia...ila huyo boss mpya ...mmmh tutasikia mengine sasa hivi....time will tell
Watu wakishafeli hawakosi wa kuwasingizia kuwa ndo wamewafanya wasitoke.
Hivi Ruge anawabaniaje mpaka wasisikike? Tz kuna radio ngapi? Tz kuna television ngapi? Ina maana pote huko Ruge ndo anapatawala hadi awazuie wasicheze nyimbo zao?
Visingizio vingine vimekaa kijingajinga sana kuwashawishi watu ili wavikubali.
Hao wasanii hawana nyimbo za maana wameshafulia wanataka daily wabebwe kwa kupiga nyimbo zao za mwaka 47 wakati kuna watoto kama akina young killer daily wanatusua masong mapya na makali.
Waambieni hao wasanii waache kula unga wakomae na soko la ushindani, biashara ya kujuana na kuangaliana usoni ishapitwa na wakati.
Nimesikilza hii video ya msanii Q-chief imenisikitisha sana jinsi wasanii wazuri kama hawa wanavyopotezwa na watu fulani fulani kisa ya masilahi binafsi.
Binafsi nafkiri Q-chief ni moja ya wasanii wenye vipaji sana na mahiri kutokea hapa nchini. Najua ana mapungufu yake,ila sidhani anastahili kuwa alivyo sasa.
Nimegundua baada ya kutazama hii video.
Ruge ni mwiba sana katika tasnia ya sanaa hapa nchini,hataki mtofutiane katika maslahi yake.
TOO BAD..ITS SAD:angry:
SOURCE:Exclusive: Q-Chief aelezea kusaini mkataba na kampuni mpya, majaribu, alichojifunza na ujio wake kama msanii aliyebadilika (Video) - Bongo5.com
Mkuu ndio maana nimekwambia Time will tell kwa huyo jama Qs.... dogo anaweza akawa ametoka wodi la wagonjwa wa kawaida na kuingia ICU...wanamuziki wa Tanzania wanataka kuajiriwa badala ya kuajiri manager waoTatizo jingine ni hao mameneja wanawaowachukua yeye kwa sababu kaona tu jamaa ana mkwanja wa kutosha basi anaamua kusainishwa mkataba haulizi hata watafanyaje kazi mtu hata haujui mziki mziki wenyewe jamaa ana mipesa yake ya unga ndo unamfanya kuwa meneja badala ya kukusimamia katika mziki anakutumia tu katika biashara zake unga wasanii waamke sasa ikiwezekana watafute mameneja watakao waajiri wao wenye wawe wanawalipa mshara badala tu ya kutafuta tu mapedeshee wauza unga
chief kumbeeeeeeeeee na pande ya mombasa enzi hizo hehehe
ushikaji na kuoneana noma ndo kumefikisha vijana wengi hapa walipo!hawa wa kina q chief watu wa karibu walikuwa wanajua kama anakula ngada ila hawakumstua sasa amechoka na kila raia anajua basi lawama kwa ruge!......leo wema na rommy wanakula unga na watu wa karibu wanajua ila kwakuwa wanamudu kujinunulia huo unga na wako smart nobody cares!siku wakichoka ruge atabebeshwa lawama!...hii si kwa hao tu hata kwa maskani nyingi!.......mtu kama anakula unga achanwe ajue kama watu wanajua kuliko kusubiri achoke
Wema ni stress za kufulia au anavuta kwa starehe zake,mda c mrefu atapotea kma ray c
Acha tu wapoteee washajiona mno
Sembe ni noma wema ameshapotea kitambo,acha domo amfumue tu hana bei
Sasa hivi mamilioni anayasikia tu kwi kwiiii
Yani wema angekua n akili mukichwa angekua mbali sana kimaendeleo,sasa kma anavuta sembe c ndio kwisha habari yke namuonea huruma sana
yaani km anakula ngada baas
amuulize ray c
yaani km anakula ngada baas
amuulize ray c
Ndio maana siku zinavozidi kwenda ndo anapoteza muelekeo yani siku akikosa ndo italipuka kama raisi Wema anapotea kiutani hivi kwa kutosikia ushauri umaarufu una mponza diamond mwenyewe kamvumilia tu
Mwanamke teja ni shida anafumulia kotekote na mwanaume teja anaishia kua mchelemchele[/QUOTE said:Mkuu unaweza kula tigo ya teja???una roho ngumu aiseeeee
Nimemkumbuka q chillah na lisong lake "tanita". "Mboni ichafukapo jicho huwa mashakani, ni mbali we ulipo na sijui u hali gani"