majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 463
- 649
Kwani huwa hawaruhusiwi kunyoa ndevu?
Hiyo ndiyo Serikali ya ccm, wakishiba basi lazima wakunyooshe, hapa ndipo naungana nao, kuwanyoosha mafisadi, Chenge na wenzako mjiandae
Heshma imerudi kwa street.Na hapo bado! Tutaheshimiana tu.
Shikamoo sana awamu ya Tano.
Aaii jamani.Unajua kusoma?
Hapo walipo nje pameandikwa MAHAKAMA YA KISUTU na sio SALON YA KISUTU.
Indeed it isVery funny
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani huwa hawaruhusiwi kunyoa ndevu?