K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,501 Reaction score 4,282 Apr 30, 2025 #1 Wakuu Kwa sisi ambao hatujaridhika na matokeo ya TRA tuliambiwa tukate rufaa kwa kutuma barua kwa wahusika kueleza sababu za kutoridhika na hayo matokeo yao ambayo kiuhalisia ni yamepikwa tu. Je majibu ya rufaa zetu yanatoka lini?
Wakuu Kwa sisi ambao hatujaridhika na matokeo ya TRA tuliambiwa tukate rufaa kwa kutuma barua kwa wahusika kueleza sababu za kutoridhika na hayo matokeo yao ambayo kiuhalisia ni yamepikwa tu. Je majibu ya rufaa zetu yanatoka lini?
Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,396 Reaction score 3,718 Apr 30, 2025 #2 Mwenyewe nimeappeal ya customs officer ii,wamenijibu hivi. Karibu TRA huduma kwa wateja. Ombi lako limesajiliwa kwa tiketi namba 37958. Tumelipokea na tunalifanyia kazi.
Mwenyewe nimeappeal ya customs officer ii,wamenijibu hivi. Karibu TRA huduma kwa wateja. Ombi lako limesajiliwa kwa tiketi namba 37958. Tumelipokea na tunalifanyia kazi.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,960 Reaction score 26,132 Apr 30, 2025 #3 Acheni kupoteza muda wenu